Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

Sipendi watoto wa watu waje nyumbani kwangu hata kuangalia TV Nimejenga nyumba kubwa sana huwa wanasem hawa wachaga wana misukuke. Mtoto akiumw tu wanaleta maneno Kifup sitak waje wakae huko kwaoπŸ™ƒ
Sawa kabisa kila mtu ana namna yake ya kuishi kwangu mimi nilikua nimepanga na niliruhusu wawe sehemu ya furaha yangu now naishi kwangu na bado nikiwa na hata sherehe ya mwanangu lazima niwaalike watoto wa mtaani kwangu waje wale wafurahi na wenzao. Kwahiyo sipingi kabisa mfumo wako wa maisha maana unajiepushia mambo mabaya kwa mtazamo wako ila kwangu mimi sijawahi kutana na baya lolote kwa kuwaruhusu watoto kuwa karibu yangu.
 
Jambo la kumshukuru MunguπŸ‘Hata Yesu alisema waacheni watoto wadogo waje kwangu. Hata mimi napenda watoto na ningependa waje ila hapana Hata sikukuu huwa nawanunulia soda majiran na watoto zao kiroho safi. .
 
Wamemkomalia asepe....Mkataba alishasaini mwisho Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]
[emoji23][emoji23] watu hawataki abaki alishaaga aondoke nacheka sana
 
Wachache sana watakuelewa ila Mimi mtoto wa Mkulima Nimekuelewa
 
Uliweka bond nzuri na uyo mtoto ata kuja kukusahau, upendo unaishi.

Kuna kauli napendaga kusema
Mtoto ni malaika moyo wake hauna chuki una upendo tu.

Mazoea lazima yawe na limit dunia ya Sasa imeharibika
 
Hizo ni mbinu za kimedani, ulianza kupenda boga kisha ua likajielekeza kibla...😊
Sinaga mbinu za kitoto kama hizo am gentlemen heshima yangu iko juu kwa wake za watu.
 
Kwa hili wimbi la upinde linavyo vuma hata kukaa na kuleta mazoea na watoto wa wengine, mtu unawaza mara mbili mbili na kuhofia maneno ya mtaani..

Maana wanoko hawakawii kusema unawafundisha upinde[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…