Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Hata mikataba silaha?
Siyo hata, especially mikataba ya silaha.

Mimi nina rafiki yangu baba yake alikuwa Katibu Mkuu wizara ya Ulinzi.

Madudu yanayoendelea huko yanatisha, na huwezi kuyajua, kwa sababu ni "state secret".
 
Nadhani bado unaendeleza upumbavu wa kutoelewa. Hiyo miradi iwe tumekopa au tunatumia fedha zetu wenyewe, lakini hatuna ubia na mtu, ni ya kwetu asilimia 100 Ndicho nachoomanisha. Lakini mradi wa Bagamoyo tupo na wachina na wa oman, nao wanakua ni wamiliki wa hiyo Bandari.
 

Wewe ndo hujui. Mchina anahangaika kutwa kucha na Bagamoyo, ameshafanya lobbying za kutosha. Hiyo Mozambique ni subsidiary tu lakini bagamoyo ndo strategic. Halafu hiyo busisi unayoiongelea ni miradi yetu tofauti na huu Bagamoyo ambayo tunakwenda kuingia ubia na nchi nyingine. Hakuna mtu anaukataa huu mradi, isipokua masharti yake ndo yanaukakasi.
 
Mwarobain wa malalamiko yako sio kelele ni kudai katiba mpya
 
Wewe ulishawahi kuiona mikataba ya kununua ndege?
 
Mbn kama nayeye mwenyew Samia alikuepo inamaana Yale madini mzee aliyoyatoa yalipita skio moja kutokea sikio jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…