inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Na kwenye matanki ya maji waliyolipua nako magaidi wanajificha!?Kama magaidi wanajificha humo halafu raia hawataki kuondoka? Acha wapigwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwenye matanki ya maji waliyolipua nako magaidi wanajificha!?Kama magaidi wanajificha humo halafu raia hawataki kuondoka? Acha wapigwe
Acha kelele wewe,ninyi mlivyokua mnawaua wayahudi amkazani yeye hatolipiza!?Waambie Macron na Alraisi wa Iran kama hawatakuona punguani.
Kama IDF wameshindwa vita watulie tu sio kuuwa watoto mpaka kwenye incubator.Hamas gani hao kwenye vifaa hivyo.Hamas wanaweza kukaaa kwenye mahandaki lakini sio kwenye mashine za aina hiyo.
msumbiji mnaua watoto kwa jina la allahWaambie Macron na Alraisi wa Iran kama hawatakuona punguani.
Kama IDF wameshindwa vita watulie tu sio kuuwa watoto mpaka kwenye incubator.Hamas gani hao kwenye vifaa hivyo.Hamas wanaweza kukaaa kwenye mahandaki lakini sio kwenye mashine za aina hiyo.
Haaa yaani mtz anaye pelekeshwa na CCM na njaa ndo anajifanya kuwa na akili kumzidi Macron.Macaroni analetaa mambo ya kisiasa kwenye mambo serious, kale kamtu hakaeleweki kabisa, kana yumba sana! Anadhani kwa kusema hivyo kutamchotea uungwaji mkono na waislam wa paris!
Hata wakiua mbwa kama jina lako we unapata faida gan.Waue Hadi kuku Palestine, waliona Raha kuua wayahudi 1400 na kuimba Allah Akbar!!! Shenzi kabisa
Anajua maumivu ya kupigwa na umuhimu wa kusubiri.Sio vizuri kulazimisha ushindi wakati mwengine.Haaa yaani mtz anaye pelekeshwa na CCM na njaa ndo anajifanya kuwa na akili kumzidi Macron.
Hiyo Ufaransa ni miongoni mwa mtoa misaada ya kiuchumi na kijeshi kwa Israel, na alikuwa ni muungaji mkono wa Israel mwanzo wa vita mpaka Waka piga marufuku maandamano ya pro Palestina.
Macron katumia sanaa kubwa katika maneno yake ambayo tafsiri yake ni kuwa Israel piganeni vita na sio kuuwa watoto na wanawake.
Ndio maana Huwa wanakatandika vibao hadharani.Macaroni analetaa mambo ya kisiasa kwenye mambo serious, kale kamtu hakaeleweki kabisa, kana yumba sana! Anadhani kwa kusema hivyo kutamchotea uungwaji mkono na waislam wa paris!
Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika.
Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine wakiwa wametapakaa kwenye sakafu baada ya kudondoshewa mabomu.Wakaongeza kusema wamefungiwa ndani ya hospitali hizo na kila aliyejaribu kutoka aliuliwa na askari waliokuwa malango makuu ya kuingilia hospitali hizo.
Raisi Macron wa Ufaransa ni mmoja ya waliosikitishwa na unyama huo hivyo kutoa tamko kali la kuitaka Israel iache mara moja kuuwa watoto wachanga kwa kisingizio chochote klle
Kwa upande wake raisi Alraisi wa Iran amesema sasa ni muda wa vitendo dhidi ya ukatili wa Israel na si wakati wa maneno
Macron apambane na kunguni kwanza,ni kafiri huyo sio wa kumtilia maananiHaaa yaani mtz anaye pelekeshwa na CCM na njaa ndo anajifanya kuwa na akili kumzidi Macron.
Hiyo Ufaransa ni miongoni mwa mtoa misaada ya kiuchumi na kijeshi kwa Israel, na alikuwa ni muungaji mkono wa Israel mwanzo wa vita mpaka Waka piga marufuku maandamano ya pro Palestina.
Macron katumia sanaa kubwa katika maneno yake ambayo tafsiri yake ni kuwa Israel piganeni vita na sio kuuwa watoto na wanawake.
Mwanaume anajificha kwenye mahandaki? Mwanaume anavaa nikabu? Mwanaume akifuatwa anajicha kwa watoto na kina mama? Hizo ni sifa za mwanamke.Ajilipize kwa wanaume waliompiga sio watoto wachanga.
Waambie Macron na Alraisi wa Iran kama hawatakuona punguani.
Kama IDF wameshindwa vita watulie tu sio kuuwa watoto mpaka kwenye incubator.Hamas gani hao kwenye vifaa hivyo.Hamas wanaweza kukaaa kwenye mahandaki lakini sio kwenye mashine za aina hiyo.
Ww mbona huja pambana na umasikini wa nchi yako badala yake umeenda kujipa uyahudi weusi?Macron apambane na kunguni kwanza,ni kafiri huyo sio wa kumtilia maanani
Gaidi Ndio kipaumbele kwa sasaWw mbona huja pambana na umasikini wa nchi yako badala yake umeenda kujipa uyahudi weusi?
Hamas wamej8ficha kwenye incubatorWaambie Macron na Alraisi wa Iran kama hawatakuona punguani.
Kama IDF wameshindwa vita watulie tu sio kuuwa watoto mpaka kwenye incubator.Hamas gani hao kwenye vifaa hivyo.Hamas wanaweza kukaaa kwenye mahandaki lakini sio kwenye mashine za aina hiyo.
Hata kwa macron kichaa kuuwa watoto ndo kipaumbele chake.Gaidi Ndio kipaumbele kwa sasa
Hamas Mungu Anayaona[emoji56][emoji24][emoji24]Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika.
Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine wakiwa wametapakaa kwenye sakafu baada ya kudondoshewa mabomu.Wakaongeza kusema wamefungiwa ndani ya hospitali hizo na kila aliyejaribu kutoka aliuliwa na askari waliokuwa malango makuu ya kuingilia hospitali hizo.
Raisi Macron wa Ufaransa ni mmoja ya waliosikitishwa na unyama huo hivyo kutoa tamko kali la kuitaka Israel iache mara moja kuuwa watoto wachanga kwa kisingizio chochote klle
Kwa upande wake raisi Alraisi wa Iran amesema sasa ni muda wa vitendo dhidi ya ukatili wa Israel na si wakati wa maneno tena.
Toka Lini mtoka azae pweza??Waambie Macron na Alraisi wa Iran kama hawatakuona punguani.
Kama IDF wameshindwa vita watulie tu sio kuuwa watoto mpaka kwenye incubator.Hamas gani hao kwenye vifaa hivyo.Hamas wanaweza kukaaa kwenye mahandaki lakini sio kwenye mashine za aina hiyo.