Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia.
Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma za kibinadamu za kugawa misaada na chakula.
Shughuli ya kumpokea bi Sophie ilifanywa tukio la kitaifa kwenye uwanja wa Villacoublay kusini magharibi ya Paris ambapo muda mfupi kabla ya kuwasili bibi huyo raisi Macron aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter alisema Yeye na wafaransa wote wana furaha kumuona tena bi Petronim na akamalizia kwa kusema ''Welcome home!" .
Mara baada ya kutua uwanjani hapo bi Sophie akiwa amezungukwa na waandishi wa habari waliokuwa wakisubiri hotuba maalum ya raisi Macron walimuwahi bibi huyo kwa maswali naye akajibu kwa umahiri na utulivu mkubwa “Nina furaha isiyo kufani kuona kwamba kumbe kazi yangu iliweza kuendelezwa na wasaidizi wangu hata muda nilipokuwa sipo nao. Nitaendelea kuiombea nchi ya Mali ili Allah aibariki kwa sababu mimi ni muislamu. Nyote mnadhani aliyepo mbele yenu ni Sophie balli mimi ni Mariam"
Baada ya kusikia hayo raisi Macron alinyerereka na kupotelea kwenye majukumu mengine huku waandishi wa habari wakipigwa na butwaa.
Freed French humanitarian reveals she is Muslim