Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

Hii mijitu ya imani kali haipendagi hata maarifa mapya, haipendi kukifunza zaidi ya kukumbatia itikadi ya hovyo

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Vipi wewe.Yaani wazungu wa Ufaransa wakipata maarifa mapya wakabadili dini inakuwa shida kwako.Hayo maarifa mapya unadhani yanatoka Ulaya pekee.Yalianzia Mashariki ya kati na Afrika na mpaka sasa bado yapo ndiyo hayo aliyogundua bi Sophie mpaka akaahidi kurudi tena kule kule kwa watekaji wake.
 
Sina tatizo na wazungu wachina na waafrika kuuchagua uislamu au ukristo.
Napata taabu kwa dini za kutekana na kuahikiana bunduki.
Huu ni ubakaji wa kidini, hata huyo anayebadili ni sawa na myu kubambikiziwa kesi na kushikiwa bunduki akiri kuwa ni mkosaji.
Tangazeni dini kwa amani kama uislam unavyojinasibu ni dini ya amani na watu wasilimu kwa hiyari...hapo sina tatizo

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Iwe rare au isiwe hainihusu, ninachouliza utajivuniaje dini ya kulazimishana kwa mtutu?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Misingi ya kulingania uislamu hakuna kulimzimisha mtu abidili dini baada kwisha mlingania kadili uwezavyo .

al-baqarah 256

"Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu"

Hata kwenye Quran imerudiwa Mara kwa Mara kumiambia mtume kuwa yy ni muonyaji(mkumbushaji) tu si kazi yake kuwafanya watu waaamini sasa unavyo sema dinI kulazimishana kwa mitutu ukuwa unachanganya misingi ya dini na tabia au itikadi za watu

Quran 88: 21 -22
"Basi ! Hakika wewe ni Mkumbushaji.Wewe si kumbushamwenye kuwatawalia"

Umeongea vyema lkn kumbuka huyu mama alitekwa na akawekwa mafichoni miala minne
Na huenda aliteswa sana, mwisho wa siku amesilimu.
Je hili nilakujivunia?
Pili kama watekaji itikadi yao hukubaliani nao inakuwaje hapa mnajivunia huyu kuwa Miriam yaani kasilimu?
Ikiwa watekaji hawana itikadi sahihi ya dini ya kiislam ingefaa hata matunda yao msiyatambue na mkemee badala ya kujivunia.
Kumbuka haramu huzaa haramu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kusikia hayo raisi Macron alinyerereka na kupotelea kwenye majukumu mengine huku waandishi wa habari wakipigwa na butwaa.

View attachment 1597645

Freed French humanitarian reveals she is Muslim
jamaa yangu acha uchochezi wa kijinga kwa ajili ya DINI wapi wameandika Macron kamtoroka huyo Mama kwa ajili ya Uislam?
na bado picha inaonesha Rais kaenda kumpokea

1602865837491.png

Sophie Petronin arrived at Villacoublay airport, southwest of Paris on Friday, where she was welcomed by President Emmanuel Macron.

In a Twitter post, Macron said he and the French people were delighted to see Petronin. ''Welcome home!" he said.
“My greatest joy today is knowing that my assistant was able to continue working without me. For Mali, I will pray, implore Allah's blessings and mercy, because I am a Muslim. You say Sophie, but you have Mariam in front of you,'' Petronin was quoted by French daily Le Point as saying.“My greatest joy today is knowing that my assistant was able to continue working without me. For Mali, I will pray, implore Allah's blessings and mercy, because I am a Muslim. You say Sophie, but you have Mariam in front of you,'' Petronin was quoted by French daily Le Point as saying.
 
jamaa yangu acha uchochezi wa kijinga kwa ajili ya DINI wapi wameandika Macron kamtoroka huyo Mama kwa ajili ya Uislam?
na bado picha inaonesha Rais kaenda kumpokea

View attachment 1602307

Ratiba ya awali kwa mujibu wa waandishi wa habari walioripoti tukio hili ilikuwa Macron azungumze mbele ya waandishi hao lakini hatimae akaishia kwenye twitter.Sasa kwa akili yako wewe Ukwaju kutoendelea kwa ratiba hiyo utaita jina gani.
Uchochezi uko wapi kuarifiwa tukio muhimu kama hili.Siku zote mabomu mupige nyinyi lakini siku likikupateni mnakuwa wagumu sana kukiri maumivu. Unadhani Macron kuwacha shughuli za kiofisi kuja kumpokea huyu mama ilikuwa aishie pale halfu aondoke.Alikuwa na mengi ya kusema lakini yote yaliyeyuka baada kusikia yule bibi ni muislamu na yeye akaishia kwenye twitter.
 
Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia.

Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma za kibinadamu za kugawa misaada na chakula.

Shughuli ya kumpokea bi Sophie ilifanywa tukio la kitaifa kwenye uwanja wa Villacoublay kusini magharibi ya Paris ambapo muda mfupi kabla ya kuwasili bibi huyo raisi Macron aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter alisema Yeye na wafaransa wote wana furaha kumuona tena bi Petronim na akamalizia kwa kusema ''Welcome home!" .

Mara baada ya kutua uwanjani hapo bi Sophie akiwa amezungukwa na waandishi wa habari waliokuwa wakisubiri hotuba maalum ya raisi Macron walimuwahi bibi huyo kwa maswali naye akajibu kwa umahiri na utulivu mkubwa “Nina furaha isiyo kufani kuona kwamba kumbe kazi yangu iliweza kuendelezwa na wasaidizi wangu hata muda nilipokuwa sipo nao. Nitaendelea kuiombea nchi ya Mali ili Allah aibariki kwa sababu mimi ni muislamu. Nyote mnadhani aliyepo mbele yenu ni Sophie balli mimi ni Mariam"

Baada ya kusikia hayo raisi Macron alinyerereka na kupotelea kwenye majukumu mengine huku waandishi wa habari wakipigwa na butwaa.

View attachment 1597645

Freed French humanitarian reveals she is Muslim
Kali
 
ninachobisha ni hayo maneno yako umeyatoa wapi wakati nimeiweka ripoti yote hapo
Macron ndio kampokea na wanaongea na picha kubwa tu amepokewa
wapi wamesema alimkimbia, nioneshe tu sentensi
Sophie Petronin arrived at Villacoublay airport, southwest of Paris on Friday, where she was welcomed by President Emmanuel Macron.
 
kuna kitu inaitwa stockholm syndrome(isome)
Kwa kifupi bianadamu akitekwa au akionewa kwa muda mrefu...baadaye mtekaji akaanza kumpafavour kidogo yule mtekwaji hutengeneza hisia juu yake(affection).
kwa ishu ya ISIS wakiwateka watu,wengi wale wanaosilimu hupewa favour tofaut na wasiosilimu...mwisho wa siku wote watataka kusilimu kuepuka mateso.
hawa psychologically wako manipulated hata ukiwaachia wataendelea kuwa waislam.

Kama umeona MONEY HEIST..Kuna mfano huo yule dem aliyekuwa mateka kwenye bank alimpenda mtekaji hadi akatoroka naye.

hii mbinu wanatumia madikteta mf. hapa Tz
Wanaleta maisha magumu halafu baadae wao ndo wanaleta solutuion ya matatizo waliyoyatengeneza..hii inafanya tuwapende zaidi ya wasingeleta matatizo yoyote.

Stockholm ni mji ilitokea wahalifu waliteka benki lakini polisi walipokuja kuwaokoa mateka waliwaficha majambazi na kuwatetea
 
Misingi ya kulingania uislamu hakuna kulimzimisha mtu abidili dini baada kwisha mlingania kadili uwezavyo .

al-baqarah 256

"Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu"

Hata kwenye Quran imerudiwa Mara kwa Mara kumiambia mtume kuwa yy ni muonyaji(mkumbushaji) tu si kazi yake kuwafanya watu waaamini sasa unavyo sema dinI kulazimishana kwa mitutu ukuwa unachanganya misingi ya dini na tabia au itikadi za watu

Quran 88: 21 -22
"Basi ! Hakika wewe ni Mkumbushaji.Wewe si kumbushamwenye kuwatawalia"
hivi inaruhusiwa kuacha uislam(kwa muislam)??
 
ninachobisha ni hayo maneno yako umeyatoa wapi wakati nimeiweka ripoti yote hapo
Macron ndio kampokea na wanaongea na picha kubwa tu amepokewa
wapi wamesema alimkimbia, nioneshe tu sentensi
Kwani nyinyi akina Ukwaju mna nini na mnapata shida gani katika tukio kama hili.Nyinyi sio mliotekwa na wala si wafaransa. Kila mkieleweshwa mnapindisha ukweli huku na kule. Kama si matatizo ya utaahira basi mna matatizo ya ufahamu wa lugha. Ukisoma vichwa vya habari vya vyombo vingi vya habari huwa vinatumia lugha ya ufipisho ili upate maana ya jumla na ukiingia ndani ndipo utapata ukweli na urefu wa habari yote.
Nakuwekea link hapo chini na sio sentensi moja kama ulivyotaka ambapo utakutana na maneno haya kutoka kwa waandishi wa habari wa kimataifa " On Friday she landed in Paris and was received by President Emmanuel Macron and the Minister of Foreign Affairs, Jean-Yves Le Drian. But a planned joint press conference was abandoned without explanation." Kama hujapata sura ya kukimbia nenda kalale mapema kesho ni shule.
France in shock as freed hostage reveals she converted to Islam – 5Pillars
 
Mkuu kama angekuwa amerazimishwa angeukana uislam mara tu baada ya kuachiwa.

Walimteka alfu wakam brainwash..! Huyo ni Muislam aliyebadilishwa akili kwa mafundisho yao na kumlazimisha kutapokea na hatimaye anaona yupo sahihi ili hali mhanga na Mgonjwa
 
Ndio kinachofuata.! Na huenda ujio wake una malengo fulani ambayo magaidi kutoka kwenye dini ya Allah watautekeleza.
Yeah wameshambrainwash manipulate wamehakikisha ndo wakamuachia...angeweka msimamo wake wa kutobadili dini wangemuua na asingepatikana.
ila sasa kuna plan wanaitekeleza either alipue au kuonesha ulimwengu wao wanaweza chochote au kuonesha ulimwengu(wa waislam) Kuwa wanachofanya ni kizuri na kina matokeo kwahyo sadaka na zaka ziendelee kwenda kwao (Mujahid) Na nchi za kiislam ziendelee kuwaFund kwaajili ya kununua silaha,mafunzo nk.
 
Kwani nyinyi akina Ukwaju mna nini na mnapata shida gani katika tukio kama hili.Nyinyi sio mliotekwa na wala si wafaransa. Kila mkieleweshwa mnapi" On Friday she landed in Paris and was received by President Emmanuel Macron and the Minister of Foreign Affairs, Jean-Yves Le Drian. But a planned joint press conference was abandoned without explanation." Kama hujapata sura ya kukimbia nenda kalale mapema kesho ni shule.
France in shock as freed hostage reveals she converted to Islam – 5Pillars
kweli ninyi kina Ami ni shida sana hasa katika lugha na tafsiri
hizo video nimeziona na hakuna mahali Rais kaondoka kumkimbia huyo Mama, maana alikuwa anavutwa kila kona
kiProtocol na kiulinzi hapo si salama, kwa hiyo Macron hawezi mkimbia kwa kuwa ni muislam mnachochea UONGO
yupo kijana wa kiafrica alikwea ghorofani kumuokoa mtoto aliyekuwa akining'inia kwa kitendo kile aliitwa Ikulu
hata hapo km aingekuja kumpokea na akamuita Ikulu bado kina AMI mngesema tu
 
Wacha kukimbia ukweli wewe.Yaani huyo mama kuvutwa huku na huku ndio kulimfanya raisi wa nchi awache raitba ya kuhutubia waandishi wa habari.Kama ni hivyo basi utamaduni na vitisho vya wafaransa ni balaa zaidi kuliko Uislamu. Hapo ukiondoa wewe na wenzako wachache ndio mtasema kitu tofauti na ukweli kuwa ratiba yake ilivurugika baada ya kujuwa ukweli kuwa aliyeko mbele yake alikuwa ni muislamu.
Fikiria kwenye notebook yake alikwishaweka maneno ya kulaani magaidi na waislamu na akili yake ilikwishachonga njia za mazungumzo.Angewezaje tena kupata maneno mapya ya kuzungumza hadharani kwa haraka haraka bila kudhihirisha aibu yake.Kwa mwenye akili pale ilikuwa ni kukimbia kiaina tu.
 
sijui unazungumzia taarifa za lini tena
eti notebook ilikuwa na maneno ya kulaani
je na leo mchana huu Mwalimu aliyekatwa kichwa Ufaransa 'alitishwa' kabla ya kuuawa - BBC News Swahili
1602934616255.png

Rais Macron amesema kuwa aliuawa kwasababu 'alifundishauhuru wa kujieleza'
Mwalimu aliyekatwa kichwa katika mtaa nchini Ufaransa alikuwa amepokea vitisho baada ya kuwaonesha wanafunzi vibonzo tata vya Mtume, vimeripoti vyombo vya habari vya Ufaransa.
Awali Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema ukatwaji wa kichwa wa mwalimu katika kitongoji kilichopo kaskazini magharibi mwa mji wa Paris -Ufaransa ni "Shambulio la ugaidi wa uislamu".
 
View attachment 1603076

Safi...hao waliomuua huyo mwalimu wamefata mafundisho ya Allah na mtume to the dot kabisa
 
Back
Top Bottom