Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #81
Nafurahi umefahamu somo la mwanzo kwamba Macron alimkimbia raia wake baada kujuwa kuwa ni muislamu.sijui unazungumzia taarifa za lini tena
eti notebook ilikuwa na maneno ya kulaani
je na leo mchana huu Mwalimu aliyekatwa kichwa Ufaransa 'alitishwa' kabla ya kuuawa - BBC News Swahili
View attachment 1603076
Rais Macron amesema kuwa aliuawa kwasababu 'alifundishauhuru wa kujieleza'
Mwalimu aliyekatwa kichwa katika mtaa nchini Ufaransa alikuwa amepokea vitisho baada ya kuwaonesha wanafunzi vibonzo tata vya Mtume, vimeripoti vyombo vya habari vya Ufaransa.
Awali Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema ukatwaji wa kichwa wa mwalimu katika kitongoji kilichopo kaskazini magharibi mwa mji wa Paris -Ufaransa ni "Shambulio la ugaidi wa uislamu".
Si umeona roho ya Macron ilivyo.Yeye huwa anatayarisha maneno ya kuzungumza kabla yakitokea mambo yanayowahusu waislamu.Sasa hili la mwalimu kama amepata pahala pa kuhemea baada ya kuadhirika kule uwanjani.Hao wachapishaji wa hivyo vibonzo ni watu wa nchi yake lakini pamoja na kuleta shida huko nyuma hajaona haja ya kutoa onyo kwamba wenye kiwanda hivho wawache mara moja.Na wewe pia hujaona ubaya wa matusi hayo unayemtetea ni huyo mwalimu tu.