Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

Sawa.ila haiondoi ukwel aliosema macron
Ufaransa na uingereza ndo waliounda taifa la israel kupitia sykes-picot,na ndiyo waliowafuata watu kwenye mataifa yao na kuwatawala,na utawala wao lazima ushambulie tamaduni za watu,wasingeenda huko na kuwa na uadui na watu wala hao watu wasingekua na uadui na wao..kwa hiyo janga ni ubeberu wa mzungu
 
Kwani wazungu wangapi leo asilimia bila hata ya kutekwa
 
Ufaransa na uingereza ndo waliounda taifa la israel kupitia sykes-picot,na ndiyo waliowafuata watu kwenye mataifa yao na kuwatawala,na utawala wao lazima ushambulie tamaduni za watu,wasingeenda huko na kuwa na uadui na watu wala hao watu wasingekua na uadui na wao..kwa hiyo janga ni ubeberu wa mzungu
Umeongea point kal sana...kila mtu angebak kwake yote yasingetokea...mwarabu nae mshenz.katufunga sana minyororo.infact mwarab ndie alimu atract mzungu kuja huku..so malipo ni hapa hapa dunian.ipo siku nae mzungu yatamkuta tuu
 
Mzungu hayo yote kayapitia,
 
Ujumbe umeupata.
Nilichokiandika hakifutiki mkuu
Naona umeichukua too personal,,elewa kuwa haya mambo ya imani very complicated yaani,,utapoteza muda mwingi wako kuhate vitu visivyo hatika,mwisho utaondoka na kuyaacha mambo yako vilevile,utakuwa umepoteza miaka yako bure ukiumia kwa vitu huna uwezo wa kuvibadili,,mmoja wa watu kama wewe ni huyo macaron,,
 
Usahihi huwezi kuujua wewe kuliko Allah aliyemjibu Macron na kuwaonesha wafaransa na walimwengu.

Umeongea point kal sana...kila mtu angebak kwake yote yasingetokea...mwarabu nae mshenz.katufunga sana minyororo.infact mwarab ndie alimu atract mzungu kuja huku..so malipo ni hapa hapa dunian.ipo siku nae mzungu yatamkuta tuu
Kama Macron atakuwa mkweli basi mkasa huu atauona ni wa kipekee katika maisha yake na hatoacha kuuandika kwenye historia ya maisha yake.
Yule mama mlinzi wake sasa hivi ni Allah s.w pekee kwani atapata tabu sana kushawishiwa aukane uislamu wake.Lakini watu kama wale walioamua kuifuata haki katika wakati mgumu na kuidhihirisha mbele ya waandishi wa habari mara nyingi hufa mapema ili waingizwe peponi na mimi natamani yamkute mauti mapema amuache Macron na ujinga wake.
 
Mnabishana upuuzi mtupu... Hizi dini zote ni man made na Zimewekwa mahususi na watawala waliotangulia enzi za empire ya warumi kwaajili ya kuwatawala watu kwa wepesi na kuwachuna pesa zao kwa wepesi .huku baadhi ya vikundi vya watu wakiwa wananufaika ...

Huyo macron mwenyewe pia analijua hilo
 
Onja uone na uujue ukweli. Kama hujaonja huwezi jua uhalisia wake.

Baada ya kuonja ndio utajua, it's something beyond man made stuffs.
 
Umeongea point kal sana...kila mtu angebak kwake yote yasingetokea...mwarabu nae mshenz.katufunga sana minyororo.infact mwarab ndie alimu atract mzungu kuja huku..so malipo ni hapa hapa dunian.ipo siku nae mzungu yatamkuta tuu
Mreno ndiye aliyewafundisha biashara ya watumwa wazungu wenzie,1400s,anafika congo kabla haijagawanyika brazzavile na drc,akawapeleka kwenye mashamba ya miwa kwa ajili ya sukari amerika,siku hizo sukari ilikua kama mafuta na gesi leo
 
kwa umri wa huyo bibi sio wa kubadilishwa kirahisi.
trust me kama wale wanafunzi waliotekwa kula Nigeria baadae wakaachiwa, lakini wakatoroka tena kuwafuata magaidi unadhani sababu ni nini?

Kuna mambo yanaendeshwa nyuma ya pazia huwezi amini ukisimuliwa
Tatizo ukiwa umetekwa unakuwa huna jinsi na kukaa miaka yote hiyo katika hali ya kutekwa mwishowe inabidi ukubaliane na hali hiyo ili uione kesho yako
 
Hapo alipoyasema hayo hao waliomteka hawakuwepo hata mmoja na wala hawawezi kufika kule.Zaidi ya hayo alijuwa kuwa yupo mbele ya raisi wa Ufaransa.Kama anayoyasema alilazimishwa hiyo ingekuwa fursa yake kuangua kiliio na kusema mabaya aliyoyaona kule Mali.
 
Sawa ni vizuri anefuata dini iliyo sahihi katika wakati sahihi
 
Back
Top Bottom