Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

Mkuu Imani ni kitu cha ajabu sana hasa imani hizi mbili yaani uislam na ukiristo hizi dini ni kuziangalia kama zilivyo.
Imani ya kuteka mtu ina walakini mkubwa!
 
France ni secular country. Inawezekana huyo mama alipoanza zake za udini dini ndiyo maana Macron akaondoka. Yeye alienda kumpokea raia wa Ufaransa na siyo Mwislam. Waislam wa Tandale mbona vitu vidogo namna hii mnawekea mashindano?
 
Hii habari kuwa amesilimu mbona naiona kwenye site za Kiarabu na Kiislam pekee?

Na kama amesilimu kweli Ina maana Waislam mnaunga mkono kutekwa kwake na hao magaidi na kusilimishwa?

Mkiambiwa Uislam unaunga mkono ugaidi mnafura kwa hasira mkidai Ni chuki dhidi ya Uislam?
 
Hebu vaa miwani yako vizuri. Huoni kuwa vyombo vya habari vya mrengo wa kwenu vimevuliwa nguo.
Kama mtu anatekwa na kutunzwa namna hiyo mpaka akatoka akatamani kurudi tena kulekule ni afadhali.Angalia wale wanaotekwa halafu wakapatikana kwenye viroba.Nani wanaowateka .Inaonekana ni bora ya magaidi kuliko watekaji hao.Wewe unawajuwa lakini umeona magaidi wa kiislamu tu
 
Acha upuuzi na propaganda za kishenzi, huyo angesilimu tungeona kwenye vyombo vingi vya habari, sio hivyo vya Kiislam pekee

Utekaji haukubaliki Ni uhalifu na unyama, Dini inayoshabikia unyama haifai kufuatwa na mwanadamu
 
Acha upuuzi na propaganda za kishenzi, huyo angesilimu tungeona kwenye vyombo vingi vya habari, sio hivyo vya Kiislam pekee

Utekaji haukubaliki Ni uhalifu na unyama, Dini inayoshabikia unyama haifai kufuatwa na mwanadamu
Utekaji haukubaliki lakini watekaji wakubwa ni wazungu na watu wa dini yenu.Na nyinyi mkiteka watu wanarudi kwenye viroba.Afadhali waislamu wanarudi hai na wengine wamenenepa au wamesoma na wakaelewa,
Kama hujaona ujumbe wa Mungu kwa Macron raisi wa nchi basi nakupa pole.
Hili tukio limekutia kizunguzungu mpaka hukuona hapo juu kuwa walioripoti ni wazungu na wafaransa wenyewe wenye taaluma zao za uandishi wa habari sio wewe unayeongozwa na chuki za kijinga mpaka umepofuka.
 
Dini inayounga mkono utekaji ni dini ya mashetani, huoni hata aibu kushangilia mtu katekwa eti akabadilishwa dini, sijawahi kuona Wakristu au hata Wahindu wakiteka mtu kwa jina la Dini yuao na kujisifu kuwa eti wamembadilisha Dini waliyemteka, kwa staili hii mtapigwa tu mzidi kulia eti Dunia inawachukia, kama unateka watu kuwabadili dini ni kwa nini wasikuchukie?
Dini inayojisifu kuteka watu, sijawahi kuona
 
Nani aliyejisifu kwa kutekwa watu.Na hujakubali bado kuwa watekaji wakubwa wa watu wala si waislamu.Na si kuteka tu bali kuangamiza watu wa dini fulani kwa kudondoshea mabomu makubwa na kuvamia nyumba zao.Fuatilia vizuri yaliyofanyika Iraq na Afghanistan na kwengineko.
Itakuwaje wewe usione ubaya wa hayo na ukereke kwa bi Sophie kutekwa na kubaki hai mpaka akampelekea ujumbe raisi Macron.Wale wa Iraq na Afghanistan hupotea moja kwa moja au kubaki hai bila viungo muhimu.
 
kwa hiyo unaleta uzi wa kushangilia mtu kutekwa na kusilimu, nikishangaa unaniletea mambo sijui ya Afganistan na Iraq? sasa kama yaliyofanyika huko ni mabaya ndio yana justify nyie watu kuteka watu?
 
kwa hiyo unaleta uzi wa kushangilia mtu kutekwa na kusilimu, nikishangaa unaniletea mambo sijui ya Afganistan na Iraq? sasa kama yaliyofanyika huko ni mabaya ndio yana justify nyie watu kuteka watu?
Huna hoja.Nenda kakojoe ulale salama.
 
kwa hiyo unaleta uzi wa kushangilia mtu kutekwa na kusilimu, nikishangaa unaniletea mambo sijui ya Afganistan na Iraq? sasa kama yaliyofanyika huko ni mabaya ndio yana justify nyie watu kuteka watu?

Hivi ni nani uyo anaeshangilia? Mbona walazimisha hivyo!! Huna hoja kaa pembeni mkuu.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Mwenye video ya Macron anapotea kama yupo atuwekee
Inaonekana unatafuta vichochoro kuukimbia ukweli unaokukera moyoni na hupendi kuukubali.Hili tukio lilikuwa la kitaifa na inaonekana Macron alikuwa ametayarisha bomu jengine kuupiga uislamu lakini baada ya anaowaita magaidi wa Mali kuteguwa bomu lake si rahisi kuipata hiyo video unayoitaka.
Kama ni mtu mwenye kufuatilia vyombo vya habari basi huwezi kulazimisha kupata video inayomhusu raisi wa nchi pahala alipofedheheka kiasi hicho.
Jengine ni kuwa hiyo video unayoitaka unataka iweje hata uiamini.Na umuone Macron akifanya nini mpaka ujuwe kuwa alikimbia bomu alilopigwa na waTuareg wa Mali.Kwa sababu hata iwapo yupo aliyeweza kuchukua hiyo vidio basi hutamuona Macron akikimbia na nguo zimechanika.
Kilicho muhimu zaidi ni kwanza kumsikia bi Sophie akitangaza kuwa yeye ni muislamu na jina lake ni Mariam.Hili ni muhimu halafu ndipo utajua kuwa kweli Macron alikimbia.Kama unafahamu lugha nyengine mbali na Kiswahili angalia hiyo vidio hapa.
 
Nitolee itikadi kali hapa, mi nimeomba video nione kilichotokea badala uweke video unaniletea uswahili
 
Nitolee itikadi kali hapa, mi nimeomba video nione kilichotokea badala uweke video unaniletea uswahili
Wala sijakuletea itikadi kali na hiyo dharau yako ya uswahili ndiyo inayokufanya usiwe na hoja.
Hebu kuwa mkweli useme umeona nini kwenye hiyo vidio niliyokuwekea ya raisi wa Ufaransa Macron.
 
Hivi unajua trauma anayo pitia mateka na jinsi gani anavyokuwa treated kabla ya kuachiwa na baada ya kuachiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…