Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

Nafurahi umefahamu somo la mwanzo kwamba Macron alimkimbia raia wake baada kujuwa kuwa ni muislamu.
Si umeona roho ya Macron ilivyo.Yeye huwa anatayarisha maneno ya kuzungumza kabla yakitokea mambo yanayowahusu waislamu.Sasa hili la mwalimu kama amepata pahala pa kuhemea baada ya kuadhirika kule uwanjani.Hao wachapishaji wa hivyo vibonzo ni watu wa nchi yake lakini pamoja na kuleta shida huko nyuma hajaona haja ya kutoa onyo kwamba wenye kiwanda hivho wawache mara moja.Na wewe pia hujaona ubaya wa matusi hayo unayemtetea ni huyo mwalimu tu.
 
Duh! dini ya kutekwa kwa miaka, kisha ndo uikiri! Dini ya kuikiri kwa mtutu wa bunduki! Realy!
 
kwanini waache wanavunja sheria ya ufaransa??Au unataka france ifate sharia
 
Katekwa mkristo 2016 miaka minne kalazimishwa wee mpaka akaslim ndo 2020 akaachiwa aiseee
kwa mfano wewe umetekwa miaka minne, umelazimishwa dini, kwaio miaka yote minne ulikuwa unapretend kuwa muislam, siku umeachiwa huru umerudi kwenu bado utaendelea kuwa muislam?
 
kwanini waache wanavunja sheria ya ufaransa??Au unataka france ifate sharia
Kwani Ufaransa hakuna waislamlul ambao ni raia wa nchi hiyo na tena ndio wengi zaidi katika nchi za Ulaya.Sasa kwanini idharau imani ya raia wake waislamu kiasi hicho halafu wewe unasema ni sheria ya Ufaransa,Nani kakwambia hivyo.Ni jeuri tu ya viongozi wa Ufaransa akina Macron
 
Hii ni reflection nzima ya kilichotokea kwenye Series moja inayoitwa Homeland
 
mzee usifosi akili yako na mawazo yake ndo iwe sheria ya kifaransa...wale wana democracy,freedom of speech hawana sharia mzee
 
kwa mfano wewe umetekwa miaka minne, umelazimishwa dini, kwaio miaka yote minne ulikuwa unapretend kuwa muislam, siku umeachiwa huru umerudi kwenu bado utaendelea kuwa muislam?
Amini kwamba ukitekwa miaka kadhaa under proper manipulation techniques unaweza ukakana hata kabila lako
 
Amini kwamba ukitekwa miaka kadhaa under proper manipulation techniques unaweza ukakana hata kabila lako
Ukikana hicho ulichokuwa unashikilia mwanzo, maanake umeridhika na kuamini ulichoambiwa vyenginevyo ukipata uhuru wako unarudi ulipoamini mwanzoni.
 
Tusipokuwa waangalifu dini zaweza kutuwehusha, mwl nyerere aliwaonya hawa ndorobo..
 
Ukikana hicho ulichokuwa unashikilia mwanzo, maanake umeridhika na kuamini ulichoambiwa vyenginevyo ukipata uhuru wako unarudi ulipoamini mwanzoni.
ukiwa manipulated hata ukiachiwa hurudii ulichokuwa unaamini...inshort unalazimishwa kuamini kitu kwa nguvu ukikubali wanakubadilishia treatment hadi ukipende...ni psychological manipulation na bado kuna stockholm syndrome
 
kama unajua elfu 1 ina maziro matatu ila mtu akikuekea bastola akakwambia ina maziro manne utamkubalia, ila hata akufahamishe vipi au akubrainwash vipi akikuachia huru utaendelea kuamini kuwa elfu 1 ina maziro matatu
 
Acha utoto...tofautisha facts na beleifs.
Jua linawaka uamini usiamini
Lakini vitu kama: CCM Vs. Chadema
beberu Vs. Isis who s evil? ni imani ambazo mtu yoyote anabadili upande akiwa katika stimulis tofauti.
wewe unabishana na sayansi na hujui hata robo ya saikolojia...ngoja niishie hapa
 
Wewe ishia tu apo apo... lakini ukiona mtu amaeacha belief yake baada ya kutekwa na kuja kuachiwa huru tena nchi nyengine kabisa ujue kuna hoja zimemridhisha na sio silaha. Wakati anatekwa, angeweza kuishi na imani ya kinafik kwa sababu ya kuekewa silaha, lakini anapoachiwa tu na akijua kuwa hawampati tena bas atarudi kwenye imani yake ya mwanzo tu otherwise kama nlivokwambia hoja zimemridhisha na sio tena silaha ambayo haipo tena
 
Basi poa wacha waendelee kutekwa na kupewa 'hoja'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…