Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester


Yote umejibu sawa kabisa na Subaru ni miongoni mwa magari bora kabisa. Lakini kuna kitu hujamweka wazi: hiyo Subaru Forester ni miongoni mwa magari yanayobugia mafuta kwa wingi sana ukiwa kwenye barabara za vumbi.

Subaru ina automatic 4WD na ikigusa tu vumbi 4WD inaingia utake usitake. Ni nzuri na fuel efficient kwenye lami lkn kama unakaa uswazi sana jiandae na bajeti ya kiwese. Pia, spea zake zipo juu. Asante Mkuu.
 
Nina legacy b4
Ni gari nzri
Kwenye wese i akula kidogo2
Mi average speed yangu waga ni 10km/ltr
Ila nikisema niendeshe vzr kwa sehem isio na folen nafika adi13 kikawaida
Ila kuna siku nilifika adi 16
Inategemea na utumiaji wako

NOTE
waga sizimi AC
 
"kumbuka gari zinatumia mafuta na sio mtori"
 
Subaru haina 4WD inatumia symmetrical AWD ambayo ipo engaged muda wote haijalishi ni lami au vumbi. Fatilia iyo symmetrical AWD ina operate vipi utangundua neno 4WD umekosea kulitumia hapo.
 
Sawa kabisa.mimi nna Legacy B4 ya 2002.
Ipo ok cha muhimu service tu. Parts zake na mafundi natumia Zizuo oposite na machinga complex Dar es salaam. Oil na filter yake ni laki moja. Wana mafundi wazuri wa Subaru na ata mimi nnipo mbioni kuagiza Subaru nyingine.hii nibkutokana na uimara na ubora wa Subaru.
 
Hata mm nafanyaga service pale ilala kwa mafundi subaru spare nachukulia zizou, ila nilikuwa na waswas na oil ile ya zizou kama nzuri vip ww ushawah itumia iko poa?
 
Daah huu uzi nimeupenda sana. Vipi kuhusu altzea na subaru(impreza au foresta, legacy)..
Ip n bora
 
Kuna chombo moja Toyota Rush mnaizungumziaje
 
Reason:

- Napenda gari yenye kasi na stable
- Ni imara
- Ina options zote comfortability na sporty
- Ni SUV ina nafasi kubwa ndani
- Body shape yake inavutia kuanzia mbele, ubavuni na nyuma
- BOV Sound ndio ugonjwa wangu
- Manual Transmission with turbo ndio favourite choice
- Iwe kwenye lami au vumbi kote inapeta tu

Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari hii kwa muda mrefu...so nimeamua kuiwekea dream hii katika plan, ninadunduliza kidogo nikipatacho na Mungu akijaalia mwakani ninayo.
View attachment 548938
 
Futa hiyo licence plate number haraka sana kama hutaki mmiliki wa hiyo gari huko Georgia State ajulikane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The car is awesome.... I wish to have one too
 
n
nakushauri uchukue subaru forester toleo la mwaka 2010,,,iko poa sana hutojutia bei yake ni kuanzia mil 28 kwenda juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…