Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro umeongea genuinely truth.Subaru's are for people who love cars,people who understand the beauty of perfomance.may be the reason kenyans buy more subarus than we do here in TZ-kenyans are ahead of us education wise and development wise.
I suggest you buy that car and you will never be dissapointed!kuna watu wako tayari kununua Toyota kwa sababu spea bei rahisi,what is the use of a cheap spare part if you need to change it every 3 months?..
Gari zote za japan ni used bana sio mpyaIla m14 huyo jamaa anakupiga mkuu.ghali san. Kwa huo mkwanja unapata kitu kipyaa toka japn.ingia beford uchague ndinga mkuu
Mbna zipo mpaka cc1990?Gari gani inakula wese kama jini aisee na hapo sio 6 cylinder na ina cc 2000 tu. Sasa si bora nitembelee Mark X tu nijue moja tu bampa to bampa.
Pitia uziMwenye experience na gari aina ya Subaru Forresta mapungufu na sifa yake
Pitia uziDaah huu uzi nimeupenda sana..........
VP kuhusu altzea na subaru(impreza au foresta, legacy)..
Ip n bora
Sasa 1990 si ndio hio cc 2000 mkuu. Gari haina comfortability yoyote still inabwia wese. HaikubalikiMbna zipo mpaka cc1990?
No uwezo wako tu wa mfuko na mahitaji pia.
4wd hyo sijuinmark x inayo?
Pia ina turbo, vp mark x inayo?
9M? hii chuma haitanipita,nna mahaba nayo balaaInategemea ni ya mwaka gani mkuu, kuanzia 9M! unahitaji nikuletee mkuu?
High oil consumption? HowJiandae high oil consumption. Hakikisha una kipato kikubwa.
Nimependa ukweli wakoo...me foresta yenye turbo any time lazima nilipuke nayoo...kwa kifupi mi huwa nashaangaa wabongo ukimuliiizia kuhusu subaru utasikia hizo gar achana nazo zina gharama na zinakula wese... kama unagar ya Cc2000 na inakula wese hiyo mbovu haijalishi lakin ulaji wa subaru (nazungumzia Legacy nayoitumia) ni sawa na IST ya cc2000 ama TI,
Bro sijawah tumia forester ila mungu akinijalia nataka ninunue ya at least mwaka 2008 na kuendelea.. ila in general subaru ni gari ngumu mno, haijalishi ni impreza , forester ama legacy. mi nina legacy b4 Manual transmission na nimei abuse sana tu lakini bado iko order sana. na kama nikiendesha kiustaarabu napata 10km kwa lita, hapo Ac inakuwa sio all time, ila nikiendesha kibishoo kama vijana wa mjin (yaani full Ac na mbioo za kutosha) bas hapo naishia kwenye 6 - 7km kwa lita...
Nina hakika 80% wanaoshabikia hii gari ni watu wa kutoka kaskazini mwa Tanzania
Prado sio crossover aisee, cross-overs hazina body in frame designs ila fully sized SUV ni body in frame. Pia SUV zina 3 row seating.Not by a long shot.
Sio hata cross-over, achilia mbali SUV.
Harrier, Kluger, tena mpaka Prado kuna experts wanazi classify kuwa ni cross-over, yani hazijaficha kuitwa SUV. Sasa Forester na Harrier ipi kubwa?
Tangu nilivyoziona Subaru zenye umbo hili nilishindwa kuelewa kabisa,toleo kuanzia 2008 rudi nyuma ndio ilikua Subaru forester...hapa wamenivuruga kabisa
Tangu nilivyoziona Subaru zenye umbo hili nilishindwa kuelewa kabisa,toleo kuanzia 2008 rudi nyuma ndio ilikua Subaru forester...hapa wamenivuruga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app