Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
DuuuuihNina hakika 80% wanaoshabikia hii gari ni watu wa kutoka kaskazini mwa Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuihNina hakika 80% wanaoshabikia hii gari ni watu wa kutoka kaskazini mwa Tanzania
Moyo wa Koroshow huu,... Mtume!!!!!Tugari twa graduates na hii itakuwa your first car....na wewe bado mtoto.
Waooh! I wish one day namimi nitimize ndoto zangu za kumiliki hii ndinga.
Subaru ni zaidi ya gari aisee zaidi ukipata yenye turboKaribu kwenye Familia ya Subaru!!!
Mimi nimetumia haya magari ya toyota kama aina tatu... ila nina miaka 9 natumia subaru sijawahi kujuta hata siku moja.. ,Mtu asikudanganye kwamba inakula mafuta sana sijui spare bei gali hapana...
>>Muulize mafuta inakula sana ukilinganisha na gari gani?
>>Na bei ya spare anayosema ni ghali je ukilinganisha na spare za gari gani na je spare hizo ni original au used au feki?
...>>>>KILICHO KWELI NI KUWA SUBARU SIO KILA FUNDI ANAWEZA KUITENGENEZA ZINA MAFUNDI WAKE...kama ilivyo Magari mengine imara :.Mfano :- Benz, Bmw, na N.K.
So usiogopeshwe na wanaoziponda subaru wakati hawajawahi miliki wala kutumia...
NB: Subaru sio gari ya kila mtu ila ni gari bora sana ukilinganisha na magari mengi yanayotumika hapa Tanzania..
SIFA CHACHE ZA SUBARU
- Subaru ni gari imara na spare zake ni zauhakika ukifunga umefunga
- Ni gari yenye uhakika wa safari ukiamua kwenda kokote unakwenda huna wasiwasi kwasababu nyingi 4WD.
- Kama unapenda speed basi utaifurahia kutoka 0-100 kph ni less than 10 sec. mpaka unafika top speed haitazidi 30sec kwa subaru iliyo vzr
Subaru hawana 4WD boss bali wana AWD.Karibu kwenye Familia ya Subaru!!!

mkuu nakuombea umiliki ili angalau uniperaundiReason:
- Napenda gari yenye kasi na stable
- Ni imara
- Ina options zote comfortability na sporty
- Ni SUV ina nafasi kubwa ndani
- Body shape yake inavutia kuanzia mbele, ubavuni na nyuma
- BOV Sound ndio ugonjwa wangu
- Manual Transmission with turbo ndio favourite choice
- Iwe kwenye lami au vumbi kote inapeta tu
Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari hii kwa muda mrefu...so nimeamua kuiwekea dream hii katika plan, ninadunduliza kidogo nikipatacho na Mungu akijaalia mwakani ninayo.
View attachment 548937 View attachment 548938
Subaru hawana 4WD boss bali wana AWD.
Na mimi nasubiria jibu la hili swali.
4wheel mpaka uichague awd ni Wakati woteNa mimi nasubiria jibu la hili swali.
4wheel mpaka uichague awd ni Wakati wote
Karibu kwenye Familia ya Subaru!!!
Mimi nimetumia haya magari ya toyota kama aina tatu... ila nina miaka 9 natumia subaru sijawahi kujuta hata siku moja.. ,Mtu asikudanganye kwamba inakula mafuta sana sijui spare bei gali hapana...
>>Muulize mafuta inakula sana ukilinganisha na gari gani?
>>Na bei ya spare anayosema ni ghali je ukilinganisha na spare za gari gani na je spare hizo ni original au used au feki?
...>>>>KILICHO KWELI NI KUWA SUBARU SIO KILA FUNDI ANAWEZA KUITENGENEZA ZINA MAFUNDI WAKE...kama ilivyo Magari mengine imara :.Mfano :- Benz, Bmw, na N.K.
So usiogopeshwe na wanaoziponda subaru wakati hawajawahi miliki wala kutumia...
NB: Subaru sio gari ya kila mtu ila ni gari bora sana ukilinganisha na magari mengi yanayotumika hapa Tanzania..
SIFA CHACHE ZA SUBARU
- Subaru ni gari imara na spare zake ni zauhakika ukifunga umefunga
- Ni gari yenye uhakika wa safari ukiamua kwenda kokote unakwenda huna wasiwasi kwasababu nyingi 4WD.
- Kama unapenda speed basi utaifurahia kutoka 0-100 kph ni less than 10 sec. mpaka unafika top speed haitazidi 30sec kwa subaru iliyo vzr
ingia kwenye soko lolote la magari halafu cheki specification za subaru forester ya mwaka wowote utakuta ndio hivyo mkuu...hiyo picha umeitoa wapi..subaru hazina 4wd bali zina Awd which is more efficient than 4wd
hiyo picha umeitoa wapi..subaru hazina 4wd bali zina Awd which is more efficient than 4wd
[/QUOTE
Ingia >> https://www.beforward.jp/subaru/forester/bg311451/id/1298745/ utaona subaru zote kwenye drive wanasema ni 4wd