jossiekaps
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 322
- 248
Zenye turbo kama hii zinatumia hydraulicKuna suala hapa kuna mtu alinidokeza nikaona ni busara kuuliza kwa wazoefu. Subaru Forester zisizo na Turbo za kuanzia mwaka 2008 au 2009 - 2011 zinatumia electric steering wheel (au za bush wengine wanaita). Wakati zile zenye turbo zinatumia hydraulic. Je, hizi zisizo na turbo hiyo steering system inasumbua kiasi gani?? Ni kitu cha kuepeuka ikiwezekana? Najua vanguard zina shida hiyo pia kwamba na hizi barabara zetu baada ya muda lazima ianze kugonga. Ushauri tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana! Sababu ya kuuza ilikuwa nini mkuu?Nilinunua Subaru forester sg5 manual ya 2005,, mwaka jana mwanzoni. Baadaye nikauza hata mwaka haujaisha!
Kiukweli najuta! Sijapata gari tena kama hii!
View attachment 1431035
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yana mambo mengi sanapole sana! Sababu ya kuuza ilikuwa nini mkuu?
Ni kweli mkuu!
Dump valve sikuhizi inaitwa chips mayaiHii gari ina miaka sita naitumia tangu ilipoiagiza kutoka Japan. Hii ina turbo (chips mayai) zingine model kama hii hazina turbo (chips kavu). Engine haijawahi kuguswa, zaidi ya kubadilisha plagi, petrol filter na oil filter. Nyepesi sana kuondoka. Ukisafiri mwendo mrefu ndio utaona utamu wa subaru. Shida ya subaru spare zake zinapatikana kwa shida na bei yake imechangamka. Siyo kila sehemu unaweza kupata spare yake kama toyotaView attachment 1431000
kp app
Dump vavle na bov ni vitu tofauti?Dump valve sikuhizi inaitwa chips mayai
Blow off valve (BoV) na dump valve ni kitu kimoja isipokuwa Kwa marekani wanaopenda kuita BoV lakin ni kitu kilekile
Chicken foot Sami.Hahaha utakuwa unajua mambo ya "chicken foot" wewe!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
V8 unayoijua wewe, Subaru hata kwenye mlima kama ipo tambarare. Hii ni Forester XT 1998cc.Mmmmh V8 kabisa, labda!!
Unamaanisha nn labdaV8 unayoijua wewe, Subaru hata kwenye mlima kama ipo tambarare. Hii ni Forester XT 1998cc.View attachment 1470110View attachment 1470111
V8 unayoijua wewe, Subaru hata kwenye mlima kama ipo tambarare. Hii ni Forester XT 1998cc.View attachment 1470110View attachment 1470111
Sio 1998 ni 2008 alafu hii kama ya singapore hivi
Hivyo hivyoUnamaanisha nn labda
Mashamba ya mpunga sijui yakoje lakini Subaru AWD system yake ni uhakika sana.Aisee kwa safari zangu za maporini kwenye mashambani ya mpunga (Ifakara) na huko kilindi tanga SUBARU ITANIFAA ?.. tope plus milima?