Huyu Mnyama anapendeza sana akiwa STI.Ninayo Forester tangu 2010 manual transmission yenye Turbo (kidirisha kwenye bonnet).Ni imara sana ila kwenye foleni za Dar inakula mafuta kwenye safari ndefu inakula mafuta kawaida.Haziharibiki hovyo hovyo ila ikiharibika spea zake ziko juu na nyingi haziingiliani na Toyota.Shock up tu ni karibu laki 2.Ni 4AWD hazinasi kwenye tope;mchanga nk.Kwenye long route V8 Landcruiser ndiyo huwa naona zinani overtake....
Rough road na tope.Mashamba ya mpunga sijui yakoje lkn Subaru AWD system yake ni uhakika sana.
Inapita fresh kabisaa.Rough road,,na tope,,
ipi nzuri kati ya Subaru forester xt ya 2001 au 2005 zote zenye turboInapita fresh kabisaa.
ipi nzuri kati ya Subaru forester xt ya 2001 au 2005 zote zenye turbo
Binafsi ningeenda na ya 2005,Forester nisizozipenda binafsi ni hizi 3rd gen(SH) yaani za 2008 kuja juu kwangu haziko kikazi zaidi na zimepoteza umbo lake zuri(box).ipi nzuri kati ya Subaru forester xt ya 2001 au 2005 zote zenye turbo
Kuna toyota shockup inafika hata 500k.Ninayo Forester tangu 2010 manual transmission yenye Turbo (kidirisha kwenye bonnet).Ni imara sana ila kwenye foleni za Dar inakula mafuta kwenye safari ndefu inakula mafuta kawaida.Haziharibiki hovyo hovyo ila ikiharibika spea zake ziko juu na nyingi haziingiliani na Toyota.Shock up tu ni karibu laki 2.Ni 4AWD hazinasi kwenye tope;mchanga nk.Kwenye long route V8 Landcruiser ndiyo huwa naona zinani overtake....
ukweli ni kwamba subaru ni gari nzuri sana natumaini ukinunua autajuta kwani
1. aina magonjwa
2.kama ni mtu wa kusafiri itakupa utulivu kwa barabara
3.mafuta inakula kawaida kabisa
4.kwenye barabara za vumbi linapiga bila shida
hasara ya subaru
jamii inamtazamo wanaomiliki na kuendesha subaru ni vijana wahuni
ila nunua tu autojuta
1998 hii ni cc za engine sio mwaka wa matengenezoSio 1998 ni 2008 alafu hii kama ya singapore hivi
Gari naipenda hii, acha tu. 2021 yabidi niagize In Sha Allah!!Sio zote kaka kuna legacy ambazo ni Sedan type
XT zote ni turboNi gari nzuri sana.
Lakini ingekuwa poa kama ungejielekeza kwenye Forester XT Yenye Engine ndogo/ Ambayo haina turbo.
Yeah zinadumu vzr tuu..Heri ya mwaka mpya ndugu zangu naombeni msaada wa taarifa za hiyo gari kuhusu spare na kama inadumu vzuri nataka kuagiza moja kwa moja toka japan ahsante.
ni gari nzuri sana ndo nayotumia hapa chukua non turbo ndo utaiinjoi mjini ila kama ni mzee wa fujo chukua turbo ili upate ile ladha ya high speed.Heri ya mwaka mpya ndugu zangu naombeni msaada wa taarifa za hiyo gari kuhusu spare na kama inadumu vzuri nataka kuagiza moja kwa moja toka japan ahsante.
Sio zote na ukikuta isiyokuwa na turbo imeandikwa kabisa non turboXT zote ni turbo