Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester


sio yenye logo ya LEXUS.....HIO NI LEXUS IS200/IS250 SPECIAL FOR EUROPEAN/USA MARKET....wenye bajeti ndogo ndio mmetengenezewa ALTEZZA,HARRIER,WINDOM,CELSIOR
 
mimi na recommend 2005 Subaru Forester x20 kama uko na concern ya fuel consumption au kama huna na unapenda mbio basi kwanini usijaribu subaru forester STI (SG 9)
 

Mkuu ulienda kufanya nn huko? Ila bado inakunywa mafuta. Altezza 1G engine cc 1890 manual, hapo inalamba lita 40 tu na ni moto bati full AC njia nzima.
 
I just wanted to stand out from the crowd and i m enjyng!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Jus wanted to stand out of the crownd mkuu nothing else


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
ni gari nzuri...''confidence in motion'' aka kitu cha arusha!

mkuu ur right unajua nimehamia arusha miezi kadhaa cha kushangaza magari haya ndo kama fashion huku kila kona ni mengi balaa! Kikubwa kwa gari hili ni very speedy coz hata engine cc zake mengi ni >2000
 
Ninacho subaru impreza sportwagon,cc 1500,4wd,duh kapo chini ila katamu.12km/l
 
haya magari arusha ni kama yanatengenezewa pale.
ni mengi aafu machalii wanayaendesha kwa fujo kishenzi!!
 
Ndugu members samahani mi sina ujuzi saana na magari, Kuna jamaa anataka kuniuzia gari aina ya SUBARU Forester kwa gharama 14M, Ina cc 2000, Kwa mwenye uzoefu wa hizi gari hasa, ulaji mafuta, vipuli, na matatizo mengineyo nomba mnisaidie. Nawasilisha hoja.
 
Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…