Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
Huyo mnyama watasumbuana na nissan sykyline gt tu maana hata kilimo kwanza anaomba po!
 
ila kuagiza Subaru Forester Japan haizidi 12mil mpaka mkononi bora uagize ni gari nzuri sana kuna generation tatu ya 1997_ 2000 na 2002_ 2008 na 2009 to date hivyo second generation ziko vizuri hutajuta kumiliki hili gari halina mbwembwe nyingi ndani ila uwezo wa hili Gari ni mzuru sana karibu kwenye
" comfortable in motion "
 
Million 14 kununua mkonon kwa mtu n gharama kubwa sana,jaribu kupitia website zinazouza magari hapa bongo mfano,Be forward, sbt,enhance angalia gharama za subaru kama hiyo yako then uingie TRA uangalie kodi ya hiyo gari ndio utapata jibu je ununue ilo la mkonon au ununue kutoka Japan
 
Ila m14 huyo jamaa anakupiga mkuu.ghali san. Kwa huo mkwanja unapata kitu kipyaa toka japn.ingia beford uchague ndinga mkuu
 
Kwe

Nashukuru kiongoz ngoja niingie online ni seach kitu,
 
Million 14 kununua mkonon kwa mtu n gharama kubwa sana,jaribu kupitia website zinazouza magari hapa bongo mfano,Be forward, sbt,enhance angalia gharama za subaru kama hiyo yako then uingie TRA uangalie kodi ya hiyo gari ndio utapata jibu je ununue ilo la mkonon au ununue kutoka Japan
Nashukuru kiongozi nimeangalia kwenye mtandao kumbe jamaa alitaka kunipiga kwa bei sawa na yard.
 
Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
Nashukuru kiongozi ngoja niangalie taratibu za kuagiza japani kumbe bei ya kawaida tu ni woga wetu tu nitakupa mrejeo.
 
ila kuagiza Subaru Forester Japan haizidi 12mil mpaka mkononi bora uagize ni gari nzuri sana kuna generation tatu ya 1997_ 2000 na 2002_ 2008 na 2009 to date hivyo second generation ziko vizuri hutajuta kumiliki hili gari halina mbwembwe nyingi ndani ila uwezo wa hili Gari ni mzuru sana karibu kwenye
" comfortable in motion "
Kiongozi inaonesha ni mtaaramu wa SUBARU mbaka GENERATION wazijua ushawahi kuimiliki nini?
 
Mleta uzi, kwa nini usiagize kifaa kama hicho toka japan? Utapata kitu chenye mileage nzuri na bei sidhani kama itacheza mbali na hiyo yako.
Hii gari naipenda sana, ni ya KIUME. Tatizo majukumu kwa sasa hivyo ngoja nigangamale na boxer yangu kwanza!
 
Back
Top Bottom