Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Million 14 kununua mkonon kwa mtu n gharama kubwa sana,jaribu kupitia website zinazouza magari hapa bongo mfano,Be forward, sbt,enhance angalia gharama za subaru kama hiyo yako then uingie TRA uangalie kodi ya hiyo gari ndio utapata jibu je ununue ilo la mkonon au ununue kutoka Japan
Kama niko sahihi, kodi yake tra ni kama 8.9 hivi! Nimekuwa nikiifanyia research hii gari ingawa sina gari, niko obssessed nayo!
 
Import tax pamoja na registration kwa Forester ya 2002 ni Tsh.6.5m.komaaa kamanda na mtandao jipatie mnyama
 
Import tax pamoja na registration kwa Forester ya 2002 ni Tsh.6.5m.komaaa kamanda na mtandao jipatie mnyama
Nashukuru kiongozi, nami nimecheki website ya TRA calculator nimeona hayo malipo. Hivi nomba kujua huyu agent wa kutoa bandalini niandae kiasi gani ? Vilevile kama kuna malipo yoyote ya ziada tofauti na hayo niliyopigiwa nomba kujuzwa ili niweke budget fresh nisije bugi.
 
Ajenti unamlipa laki tatu na ishirini (beforward tz)na port charges kama laki mbili hivi.unamiliki mkoko
 
jamaa muuzaji mwenyewe umekuja kutetea biashara yako? ha ha ha... huyu jamaa yako hakujua nawe upo JF spares za subaru ni issue sana. so kuwa mkweli tu kwake. na ndo maana nawe unaiuza.

Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
 
jamaa muuzaji mwenyewe umekuja kutetea biashara yako? ha ha ha... huyu jamaa yako hakujua nawe upo JF spares za subaru ni issue sana. so kuwa mkweli tu kwake. na ndo maana nawe unaiuza.
Jaman ni ushauri tu, wala mm sio muuzaji ila ni mmiliki wa subaru, nazijua hiz gari ni nzuri ndo mana nmemshauri anunue tu
 
Kaka hapo jipange maana subaru inabwia na c unaona iyo engine capacity cc 2000 yaani haijalishi ni subaru forester,impreza au legacy
 
generation ya pil ndo tamu hata kimuundo kuna hz zimeandikwa crossport .kuhusu ulaj wa mafuta ukinunua used kibongo bongo inategemea na huyo mtu kama halip service vizur litakuwa linakula mafuta kuliko kiwanda walivytoa
 
cjaelewa hapa wakuu kwa hyo had ifike mikononi mwako ni kama sh ngap hv
 
Back
Top Bottom