Huyo mnyama watasumbuana na nissan sykyline gt tu maana hata kilimo kwanza anaomba po!Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
Nimewaelewa wadau! ila hapo kuomba po nomba ufafanuzi.Huyo mnyama watasumbuana na nissan sykyline gt tu maana hata kilimo kwanza anaomba po!
Aisee unaishi Tanzania sehemu gani?Nimewaelewa wadau! ila hapo kuomba po nomba ufafanuzi.
Anakaa chini. Maana subaru inatumia boxer injiniNimewaelewa wadau! ila hapo kuomba po nomba ufafanuzi.
Naishi kijijini mwakaleli.Aisee unaishi Tanzania sehemu gani?
Ahaa! hapo nimekusoma kiongozi!Anakaa chini. Maana subaru inatumia boxer injini
Ok! nashukuru kiongozi kwa ushauli mbaka mda huu, sijapata kura ya kupingwa basi naipitisha SUBARU bila kupingwa.Nazikubali sana Subaru
Kumbe sio bei sana? Maana suzuki escudo generation ya 2005 to date m30 etiIla m14 huyo jamaa anakupiga mkuu.ghali san. Kwa huo mkwanja unapata kitu kipyaa toka japn.ingia beford uchague ndinga mkuu
Nashukuru kiongoz ngoja niingie online ni seach kitu,Ila m14 huyo jamaa anakupiga mkuu.ghali san. Kwa huo mkwanja unapata kitu kipyaa toka japn.ingia beford uchague ndinga mkuu
Nashukuru kiongozi nimeangalia kwenye mtandao kumbe jamaa alitaka kunipiga kwa bei sawa na yard.Million 14 kununua mkonon kwa mtu n gharama kubwa sana,jaribu kupitia website zinazouza magari hapa bongo mfano,Be forward, sbt,enhance angalia gharama za subaru kama hiyo yako then uingie TRA uangalie kodi ya hiyo gari ndio utapata jibu je ununue ilo la mkonon au ununue kutoka Japan
shukrani mkuu kwa kufanya uchunguzi.Nashukuru kiongozi nimeangalia kwenye mtandao kumbe jamaa alitaka kunipiga kwa bei sawa na yard.
Nashukuru kiongozi ngoja niangalie taratibu za kuagiza japani kumbe bei ya kawaida tu ni woga wetu tu nitakupa mrejeo.Kiukweli hiyo gari ni nzuri sana, aitumii mafuta mengi kama watu wanavyosema kinachotakiwa ni service kila muda unapofika, nakushauri nunua kuanzia mwaka 2002 ndo vimekaa poa sana, karibu kwenye ulimwengu wa subaru a.k.a mnyamaaaaah
Kiongozi inaonesha ni mtaaramu wa SUBARU mbaka GENERATION wazijua ushawahi kuimiliki nini?ila kuagiza Subaru Forester Japan haizidi 12mil mpaka mkononi bora uagize ni gari nzuri sana kuna generation tatu ya 1997_ 2000 na 2002_ 2008 na 2009 to date hivyo second generation ziko vizuri hutajuta kumiliki hili gari halina mbwembwe nyingi ndani ila uwezo wa hili Gari ni mzuru sana karibu kwenye
" comfortable in motion "
Cc 2000 hainywi mafuta kivile.Gari zuri ina nguvu sana tatizo ni fuel consumption