Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

kama una wasiwasi na hilo gari niunganishe na huyo jamaa mie nilinunue chap Maana nipo kwenye mpango wa kununua
 
Ila m14 huyo jamaa anakupiga mkuu.ghali san. Kwa huo mkwanja unapata kitu kipyaa toka japn.ingia beford uchague ndinga mkuu
Inategemea ni ya mwaka gani kama ni Forester ya mwaka 2005 kwa sasa ushuru pekeyake ni karibu 9m na CIF kutegemeana na mileage inachenza kati ya $3500 mpaka $4500 so kupata Forester nzuri kwa sasa uwe na atleast 16.5m to 18m kwa Second Generation za mwaka 2005 - 2007 ila za chini ya 2005 unaweza pata kwa 14,13m even below.
 
Mimi niko Moro town, hiyo gari inanitoa udenda sana but watu wananitisha kuhusu spare parts availability na mafundi pia, kuna mwenye maoni tofauti?
 
wa
Mimi niko Moro town, hiyo gari inanitoa udenda sana but watu wananitisha kuhusu spare parts availability na mafundi pia, kuna mwenye maoni tofauti?
wasikudanganyi kitu. ni gari nzur sana, ulajiwake wa mafuta ni wakawaida kabisa kuhusu vipuli vipo vingi sana dar na bei sio mbaya kama watu wanavyopotosha na hakuna feki. kama si mpenzi wa kukimbia tafuta isiyo na turbo. nakuhakikishia autajuta kamwe kwan hii gari aina magonjwa
 
Thanks nitaitafuta mkuu, ninapenda mbio, but nakimbia pale panaporuhusu!
 
Mimi niko Moro town, hiyo gari inanitoa udenda sana but watu wananitisha kuhusu spare parts availability na mafundi pia, kuna mwenye maoni tofauti?
Nunua hiyo hiyo gari you will never regret! hasa kama unapenda performance nzuri na stability... Usisikilize maneno ya wanaosimuliwa listen to someone driving it. Mimi nilikuwa napenda Subaru toka kitambo na nilikuwa naielewa kuwa ni gari nzrui na inakimbia lakini baada ya kuimiliki na kuendesha nikagundua ni ZAIDI YA VILE NILIVYOOKUWA NAIELEWA. hasa pale ninapowatupa VX V8 milimani yaaani tukikutana KITONGA... hakuna cha V8 wala ndugu yake hata plate number hawaioni labda vumbi tu!
 
subaru ni nomaaah sana.
 
Mmmmh V8 kabisa, labda!!
 
Tafuta wakala au mtu wa tra akupe tathmin ya uagizaji.
Ila ni gari yenye muonekano mzuri sijui utunzaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…