Kutokana na watu wengi kuhangaika sana jinsi ya kuunlock modem ya Zantel Dlink 157. Leo nimewaletea solution bure. Hakuna gharama
Baada ya kuunlock modem yako. Utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule kama vile Vodacom, Airtel, Halotel n.k
Mahitaji
Maelezo
1. Download
Unlocked Firmware ya Dlink 157 kisha extract kwenye computer yako kwa kutumia software inayoitwa Winrar au 7-zip (Google utazipata)
2. Chomeka modem yako ikiwa na laini ya mtandao mwingine tofauti na Zantel (unaweza kuweka halotel, Airtel, Tigo n.k)
Hakikisha umefunga dashboard ya modem yako kwasababu itashindwa kuunlock modem yako
3. Run unlocked firmware as administrator kwa ku-right click unlocked firmware kisha chagua run as administrator
4. Itakuletea kidashboard. Weka tiki kwenye "I accept the agreement) kisha bonyeza Next
Iache i-update mpaka iandike "update success"
5. Chomoa modem yako kwenye computer. KIsha chomeka tena. Mpaka hapa itakuwa tayari na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule.
Kumbuka
Kipindi una update firmware. Usichomoa modem au kuitikisa maana utabrick modem yako (sitahusika kwa hilo)
Usisahau kulike. Kazi njema