YAP KAKA. thanx sana mana nilikuwa ninayo kwenye droo nasubiri ku-unlock tu.. sasa nataka nifanye dual ya hii pamoja na zte mf900 nione kama nitapata ongezeko la speed via connectify mkuu.BIG UP and keep em coming broda..
Ki ukweli hii modem ni 14Mbps maana Mimi ninayo hapa naitumia kwenye mtandao wetu wa Airtel kitu inagonga vizuri tu 1.400MB/sec kwenye idm but kwenye dashboard haivuki 6Mbps sijui kwanini
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
View attachment 179083
Kwa hapo mie napata mpaka 9.26mbps bila hata kuiunlock nilikuwa nimeunga package ya 30gb kwa siku tatu usiku tu
- Good News Version 9 ya Connectify Dispatcher cracker yake ipo tayari.
- Nitaiweka JF store soon
View attachment 179083
Kwa hapo mie napata mpaka 9.26mbps bila hata kuiunlock nilikuwa nimeunga package ya 30gb kwa siku tatu usiku tu
..Mkuu step zote nimefuata na password nimetumia ile ya flash code ila mwisho siku wakati wa ku update firmware inasema Error code 17,The wireless terminal inserted is not E 3531,update wizard cant continue.Moderm ni E303s-1
Asante sana kaka. Nimefanikiwa kuifungua mpaka hapaMahitaji
# Huawei Modem Unlocker | Copy.com | Size 30Kb
# Firmware Ichukue hapa | http://goo.gl/5fJlJp | Size 13.5Mb
Jinsi ya kufanya
# Install drivers za Huawei E303H kwa ku_install software ya modem
# Kama umeweka laini tofauti katika modem utajitokeza ujumbe huu
# Click OK, kisha funga software ya modem
# Fungua huawei unlocker, hakikisha imesoma IMEI number, kisha click CALCULATE
# Nakili [Copy] FLASH CODE zitatumika hatua inayofuata
# Fungua Firmware kicha click start
# Hapo kwenye "password" weka FLASH CODE uliyonakili awali, Subiri utajitokeza huu ujumbe
#Hapo umefanikiwa ku_unlock modem yako ya HUAWEI E303H
# Enjoy
:cool2::cool2::cool2:
CC| Kaa la Moto kimox kimkole PHILIPP DONIE CORAL nurbert
..
mkuu umekosea.. hapa tunaunlock hizi modem mpya za tigo ambayo ni model ya e303H sio e303s ...kuna nyuzi zinaongelea 303s na firmware zake zipo ..ulikosea hiyo model tu..hii ni 303 "H" mkuu
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem
Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps...
Mimi nili unlock hii modem ya tigo E 303, kwa offocial dcunlocker software. Ila baada ya kukamilisha zoezi nilivyocheki properties ikaonyesha capacity yake baada ni 7.5Mbps...
msaada wakuu kuna jamaa yangu kaupgrade na firmware isiyo sahihi sasa modem yake haidetect port wala dashboard.
je kuna namna yoyote ya kuirecovery? C6 Mwl.RCT Kimox Kimokole Paje chief-mkwawa njunwa wamavoko Shaffin Simbamwene Mzizi mkavu......na wengineo wenye kujua.