Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mwenyewe hii imewahi nikuta ila ndo hivo modem niko nimetunza tu ka kasha...
Ila kama ameinunua siku za karibuni mwambie arudishe awbie ni mbovu...ofcourse kama alinunua Tigoshop...
Duh...kama itakosekana solutioni itabidi aitupe tu maana kuirudisha tigo shop sidhani kama yawezekana maana amenunua kipindi kile cha offer karibu mwezi na ushee
 
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem
Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps...

zantel wameanza kuuza modem huawei e3131 tokea mwaka jana na speed yake ni 21mbps.
ziliisha zikaja tena na zikaisha tena.
 
zantel wameanza kuuza modem huawei e3131 tokea mwaka jana na speed yake ni 21mbps.
ziliisha zikaja tena na zikaisha tena.

Duuh!hizi wengi wetu hatukuzistukia vinginevyo leo hii modem kama hizi zinatafutwa kwa udi na uvumba
 
zantel wameanza kuuza modem huawei e3131 tokea mwaka jana na speed yake ni 21mbps.
ziliisha zikaja tena na zikaisha tena.
nadhani hizo watakuwa wameziuzia huko zenji siyo huku pwani.
sasa utanisaidiaje hayo makitu yetu au ndo nimwambie jamaa aitupe tu?
 
nadhani hizo watakuwa wameziuzia huko zenji siyo huku pwani.
sasa utanisaidiaje hayo makitu yetu au ndo nimwambie jamaa aitupe tu?
modem ilokufa kabisa. ambayo hata port haionekani njia pekee ni kutumia dongle kuirudisha duniani. kuipa uhai tena.

ziko dongle tofauti tofauti lakini naona si bongo. na bei ya dongle ni kubwa kuliko modem. kama sio fundi na huna plani ya kurepair phone/modem bora ununue modem mpya tu.
 
Habari!

Naombeni msaada jindi ya ku unlock hii simu ya huawei y530. Hizi za laini ya mtandao mmoja tu!
 
Nadhani ukishai-unlock Speed inapungua kutegemea na firmware iliyotumika

hebu tazama hapa ilicholeta baada ya kui-unlock @Mwl.RCT

speed.jpg
 
Nadhani ukishai-unlock Speed inapungua kutegemea na firmware iliyotumika

hebu tazama hapa ilicholeta baada ya kui-unlock @Mwl.RCT

View attachment 197244

Labda niulize speed ni s/w related au hardware related?
Je nikichukua s/w zile za kuongeza ukubwa wa Flash e.g 1G ikawa 16GB je ni kweli hiyo flash itaweza kubeba mafiles ya 16GB?

Kama jibu ni hapana basi hata kwa hizo modem nafikiri hiyo firmware imezi calibrate na kuipa size kitu kingine Lkn real capacity imebaki pale pale
 
Mwl, Mimi naomba unielekeze ku-unlock Huawei ascend Y 300.
 
Cm yangu ni HUAWEI ASCEND Y300

IMEI 864298025872925
 
Si ajabu wewe umewapigia wale wa customer care
Cha kufanya angalia Juu ya Box lako imeandikwa kabisa 14Mbps
Au nenda Control panel kwenye available connections itakua ineandikwa...

Mimi niliunlock hii modem via dc-unlocker. Before sijaiunlock nikicheki properties wakati iko connected to net ilikua inasoma SPEED 14Mbps. Lakini nilivyo unlock tu ukirudi kwenye properties wakati iko connected SPEED inasoma 7.2Mbsp.

So nadhani uki unlock unapunguza efficiency interms of speed. Wataalam mnaweza toa ufafauzi zaidi.
 
Habarini wanajamvi, samahani naomb msaada jinsi ya ku unlock vodacom moderm itumie line zote. moderm ni brand ya Huawei na model na yake ni;
MODEL :E173S_2
naombeni msaada katika hilo na nitashukuru kwa wito wenu, ninatafurahi kama ntaelekezwa na kufanya mwenyewe. aksante
 
Hizi Modem unaweka Foreign Sim card then inaomba Unlock codes
Unlocked codes(NCK) zipate kwa kutumia IMEI Kutoka
http://a-zgsm.com/freecode/

Ikikataa hii search humu jamiiforums "Finally Huawei E173 Flashed"
 
Back
Top Bottom