Duh...kama itakosekana solutioni itabidi aitupe tu maana kuirudisha tigo shop sidhani kama yawezekana maana amenunua kipindi kile cha offer karibu mwezi na usheeMwenyewe hii imewahi nikuta ila ndo hivo modem niko nimetunza tu ka kasha...
Ila kama ameinunua siku za karibuni mwambie arudishe awbie ni mbovu...ofcourse kama alinunua Tigoshop...
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem
Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps...
zantel wameanza kuuza modem huawei e3131 tokea mwaka jana na speed yake ni 21mbps.
ziliisha zikaja tena na zikaisha tena.
nadhani hizo watakuwa wameziuzia huko zenji siyo huku pwani.zantel wameanza kuuza modem huawei e3131 tokea mwaka jana na speed yake ni 21mbps.
ziliisha zikaja tena na zikaisha tena.
modem ilokufa kabisa. ambayo hata port haionekani njia pekee ni kutumia dongle kuirudisha duniani. kuipa uhai tena.nadhani hizo watakuwa wameziuzia huko zenji siyo huku pwani.
sasa utanisaidiaje hayo makitu yetu au ndo nimwambie jamaa aitupe tu?
Habari!
Naombeni msaada jindi ya ku unlock hii simu ya huawei y530. Hizi za laini ya mtandao mmoja tu!
Nadhani ukishai-unlock Speed inapungua kutegemea na firmware iliyotumika
hebu tazama hapa ilicholeta baada ya kui-unlock @Mwl.RCT
View attachment 197244
Mahitaji
# Huawei Modem Unlocker | Copy.com | Size 30Kb
# Firmware Ichukue hapa | http://goo.gl/5fJlJp | Size 13.5Mb...
Si ajabu wewe umewapigia wale wa customer care
Cha kufanya angalia Juu ya Box lako imeandikwa kabisa 14Mbps
Au nenda Control panel kwenye available connections itakua ineandikwa...
Habarini wanajamvi, samahani naomb msaada jinsi ya ku unlock vodacom moderm itumie line zote. moderm ni brand ya Huawei na model na yake ni;
MODEL :E173S_2
naombeni msaada katika hilo na nitashukuru kwa wito wenu, ninatafurahi kama ntaelekezwa na kufanya mwenyewe. aksante
Hizi Modem unaweka Foreign Sim card then inaomba Unlock codes
Unlocked codes(NCK) zipate kwa kutumia IMEI Kutoka
http://a-zgsm.com/freecode/
Ikikataa hii search humu jamiiforums "Finally Huawei E173 Flashed"