Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Ni zao zuri sana kutokana na soko lake kuwa kubwa. Ukifata kanuni za kilimo utafanikiwa na kutajirika kwa muda mfupi. Nitatoa mfano, kuna rafiki yangu yeye alipandaga karibu heka moja ila alichokosea ni kwamba alipanda ktk msimu ambao sio muda wake. Yani kipindi cha masika kilifika wakati ambapo miche ya mitikiti haijakomaa shambani, hivyo mvua ilivyonyesha miche yote ilivunjika vunjika na jamaa akala hasara. Kabla hujajiingiza kwenye kilimo hiki ni vizuri ukawatembelea wazoefu wakakupa maujuzi na mbinu wanazotumia vinginevyo hasara utayopata hutoisahau maishani mwakoHabari za majukumu wadau sababu za kuanzisha uzi huu nikuwataka wadau mchangie ili watu wajue faida na hasara za kilimo cha matikiti maji maana watu wengi wamekuwa wakisema mambo katika lugha nyepesi ambayo ukitafakari kwa kina lazima ushindwe kupata jibu kamili mi kwa upande sijawahi ona mtu aliefanikiwa katika kilimo hichi maana wengi nao waona wamekuwa wakilima mara moja na kupotelea mitini kama wewe ni mhanga toa ushuhuda wako ilikiwaje ukapata hasara na kama ni mnufaika wa hii kitu toa maelezo na kwa upande wako ilikiwaje ukapata faida na vp bado unaendelea na hichi kilimo au ishakuwa pasua kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()