MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Jozi 1,
Tatizo lako unafikiri kila sehemu ya Tanzania ipo kama Arusha, kuna sehemu ni Kame Mvua ni wakati wa Msimu tu na hakuna Maji ya Umwagiliaji.
Maji ya Kunywa tu ni shida Unaenda kisimani Leo unarudi kesho na Ndoo yako moja, utamwagilia hapo? watu si watakuua!
Acheni ujinga hapa watu tumeunia unafuata masharti yote ya Kilimo na unavuna kweli kimbembe ni Soko na kumbuka siyo kila sehemu ya Nchi utalima mazao Mbadala ndiyo maana nilienda Mbinga kulima TANGAWIZI nikapata Gunia 200 soko likawa shida.
nyinyi unaleta Kilimo chenu cha Makaratasi hapa! KILIMO BILA: Soko, Mtaji, Maji ya uhakika. SILIMI HATA KAMA SINA KAZI!