MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Gaddaf aliwapa watu wake Mitaji kwa ajili ya Kilimo. Bila ya Mtaji kilimo ni Ndoto ya Mchana Tusidanganyane Unaweza kulima na ukakosa soko. Sasa hivi Mbazi baadhi ya Mikoa kilo ni Tsh 150/= na Mnunuzi hakuna mpaka wakulima wamezitelekeza Mbaazi shambani hawaoni faida ya kuzivuna.
HATA KAMA SINA KAZI Kilimo bila SOKO, MTAJI, MAJI ya uhakika sifanyi Kazi hii. Nakumbuka Tangawizi zangu.
HATA KAMA SINA KAZI Kilimo bila SOKO, MTAJI, MAJI ya uhakika sifanyi Kazi hii. Nakumbuka Tangawizi zangu.