21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
hongera ntakutafuta na mimi unipe maujuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesha mjibukuna mtu amekuuliza swali zuri lenye maduuri ya kuomba gharama za uwekezaji tafadhali
kuna mtu amekuuliza swali zuri lenye maduuri ya kuomba gharama za uwekezaji tafadhali
Vipi soko limekaaje ,na umetumia mda gani mpaka kuvuna DadaNIMELIMA ARUSHA, MAENEO YANAITWA NDURUMA, KWA WENYEJI WA ARUSHA WANAFAHAM KULE NDO MASHAMBA YALIPO
soko lipo kabisa hakuna wasiwasi, wafanya biashara wanachukua shambani na canter zao , unaweza kupatania shamba zima, au ukaamua kupima kwa kilo ni uamuzi wakoVipi soko limekaaje ,na umetumia mda gani mpaka kuvuna Dada
sh.800Mkuu, bei ya kilo moja uliuzaje huko Arusha?
Ndogo sana,wastani ni 75000ndio kwa trekta, kwani unaona ndogo hiyo
huko ulipo, usitake kulinganisha nilipo na ulipo wewe, bei niliyo limia ndo hiyo, unataka nitaje ambayo sio ili iweje,Ndogo sana,wastani ni 75000
matikiti hayana msimu, ila hushauriwi kulima wakati wa masika, matikiti yakisha komaa, yakikutana na mvua hapo huto ambulia kitu, yanapasuka yote kwa hiyo hushauriw wakati wa masikanaomba kuku uliza je! kilimo hiki kina msimu?