MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

kuna mtu amekuuliza swali zuri lenye maduuri ya kuomba gharama za uwekezaji tafadhali
 
garama

1. kukodi shamba hekari 2 =200,000.
2.kulima kwa trekta heka 2=60,000
3.kukata matuta kwa treka hekar 2=60,000
4. mbegu za tikiti pundamilia/zebra= 420,000
5. mbolea CAN ya kupandia =70,000
6.mbolea UREA kukuzia, = 70,000

7. vibarua kuotesha mbegu= 50,000
8. madawa mpka natoa shambani= 180,000
9. vibarua wa kupalilia na kumwagilia =120,000
10, mlinzi na kumlisha akiwepo shambani= 300,000
11, kulipia maji ya kumwagilia kwa bodi ya mferegi= 200,000
kuna mtu amekuuliza swali zuri lenye maduuri ya kuomba gharama za uwekezaji tafadhali
 
Hongera kiongozi maisha ni uchaguzi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hongera sana.Mbegu, palizi, kuhudumia shamba mbona hujaweka gharama?
 
Back
Top Bottom