Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
2,180
Reaction score
3,477
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.

Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??

Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili??

Ingekuaje kama chama kikuu cha upinzani kama chadema wangefanya hivyo??

Karibu TANZANIA
 
Hilo siyo swali kwani kwa kila kanuni za kiulimwengu hiyo ni RUSHWA.

Labda swali lingekuwa jee Sheria zetu na wasimamizi wa hizo sheria (TAKUKURU) wanaweza kuiwajibisha CCM?

Jee kuna Hakimu/Jaji ambaye anaweza kuendesha mashtaka dhidi ya CCM na kufanya maamuzi kwa wakati na maamuzi hayo yakaonekana yamezingatia sheria na haki?
 
Ndiyo maana tunataka katiba ibadilishwe. Kama katiba ingelikuwa bora Samia angekuwa jela kwa kugawa rushwa ya baiskeli na pikipiki nchi nzima.
 
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.

Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??

Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili??

Ingekuaje kama chama kikuu cha upinzani kama chadema wangefanya hivyo??

Karibu TANZANIA
Si nembo ya CCM tu, bali na nembo ya SSH.
 
Ndiyo maana tunataka katiba ibadilishwe. Kama katiba ingelikuwa bora Samia angekuwa jela kwa kugawa rushwa ya baiskeli na pikipiki nchi nzima.
Kuna mtu anadai wamegawiwa watu wao, jee lengo ni nini? Kwa nini zina neno SSH na picha ya Samia.

Jee kuzigawa wakati huu ilikusudiwa zisaidie nini na zimelipiwa Kodi na zimenunuliwa kwa fedha gani?
 
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.

Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??

Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili??

Ingekuaje kama chama kikuu cha upinzani kama chadema wangefanya hivyo??

Karibu TANZANIA
Mbwa hawezi kumbwekea mmiliki usisahau hili.
 
Nakumbuka JPM aliwaagiza TAKUKURU kchunguza matukio ya rushwa kwenye chaguzi za ndani CCM.

Cha ajabu ile ripoti ilipotoka alikabidhiwq mwenyekiti wa CCM na haikuwahi somwa hadharani au bungeni.

Sasa nikajiuliza, ina maana TAKUKURU wakiona kuna rushwa hawawezi ifanyia kazi mpaka wamwambie Rais na ndio atoe maelekezo?

Hii nchi imeoza sana na kama hatutopata katiba mpya itakayoleta uhuru wa bunge, mahakama na taasisi zingine za Umma tusahau kabisa mabadiliko ya kweli.
 
Piki piki na baiskel za ccm sio rushwa.

Ni vitendea kazi ambavyo ccm imegawa kwa wafanyakazi wake kwa ajili ya kusaidia majukumu yao kwenye uchaguzi.

Sio kweli kwamba kila mwananchi amepewa hizo baiskeli na piki piki. Tupo wengi tu hatujapewa na ni wananchi pia

ni baadhi ya wanachama wa ccm tu ndio wamepewa. Wale wajumbe muhimu tu.

Hata vyama vya upinzani vinagawaga vitendea kazi kwa wanachama wake muhimu
 
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.

Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??

Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili??

Ingekuaje kama chama kikuu cha upinzani kama chadema wangefanya hivyo??

Karibu TANZANIA
hivyo vitu vya CCM wanaopewa ni akina nani gentleman?

au wewe,
ulitaka kadi za CCM wapewe akina nani?
au ulitaka kofia za CCM wapewe akina nani?
au ulitaka tisheti za CCM wapewe akina nani?
au ulitaka vitenge, mashati na skafu za CCM wapewe akina nani?
ai ulitaka baiskeli na bodaboda za CCM wapewe akina nani? n.k

au unadhani,
hivyo vitu vya CCM vilinunuliwa ili vikachomwe moto na sio kwaajili ya wanachama wa CCM?

na ikiwa ni rushwa,
si ukaripoti kwenye mamlaka husika gentleman?🐒
 
Ni rushwa kutoka kwenye kodi zao
 
Takukuru ina kazi gani bro!
 
Sawa mkuu, unajua ukiwa ndani ya mfumo hutaona ubaya wa haya matukio
niko na wananchi tunasonga mbele huku kila kitu kikiwa sawa, hakuna suala la kua ndani au nje ya mfumo Tanzania :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom