Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 458
- 530
Kwa iyo unataka kutuaminisha kila anegombana huwa kweli ameonewa anataka haki yakeMara nyingi ukiona watu wawili wanagombana basi ujue kuna mmoja anadai haki yake.
Sikuaminishi! Nasema kutokana na uzoefu wangu.Kwa iyo unataka kutuaminisha kila anegombana huwa kweli ameonewa anataka haki yake
Hakuna choyo, chuki etc vinavyo sababisha ugomvi mkuuSikuaminishi! Nasema kutokana na uzoefu wangu.
Kwenye ugomvi kuna mmoja lazima tu ndo huwa anakua chanzo, mtu akipata haki yake au asipochokozwa amani lazima iwepo
Chuki ,choyo etc vyote vinaishia kufall under category ya haki sasa sijui nyie ccm akili hua mmeweka matakoni ama wapi?Hakuna choyo, chuki etc vinavyo sababisha ugomvi mkuu
Tatizo liko hapaChuki ,choyo etc vyote vinaishia kufall under category ya haki sasa sijui nyie ccm akili hua mmeweka matakoni ama wapi?
Kunapokuwa na Haki,Amani huja automatically (Yenyewe)bila kulazimishwa!Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu ni moja tu:
Kama ni kulazimika kuchagua kimoja, ni ipi inapaswa kuja kwanza? AMANI au HAKI?
Wewe unaonaje? Toa hoja yako kwa heshima.
Hapo wanatafuta Haki ili Amani iendelee!Bila amani, haki haiwezi kutekelezwa.
- Vita/vurugu haziruhusu mahakama, mazungumzo, wala sheria kufanya kazi.
- Ili mtu apate haki yake anahitaji mazingira tulivu kwanza.
- Mfano: Kwenye familia yenye ugomvi, lazima kwanza wakae kimya, ndipo washughulikie nani ana kosa.
Hakuna amani iyo haki itakuja vpKunapokuwa na Haki,Amani huja automatically (Yenyewe)bila kulazimishwa!
Kunapokuwa na Haki,Amani huja automatically (Yenyewe)bila kulazimishwa!
Pia sikatai. Lakini historia imetufundisha kuwa haki inachelewa. Kama tukisubiri haki ndipo tuwe na amani, basi tutaishi kwenye machafuko kwa miaka mingi. Amani ya haraka inatupa muda wa kudai haki."Nakubali haki inaleta amani. Lakini je, wakati tunasubiri haki itendeke, je tuache vurugu ziendelee? Amani ya muda inahitajika pia ili haki ipate nafasi ya kutendeka.
Kwa hiyo inamaanisha umekuja na majibu yako tayari?Hakuna choyo, chuki etc vinavyo sababisha ugomvi mkuu
Mleta mada ni zuzu ...hajui maana ya haki na kazi ya haki...kwa kifupi tu nikuelimisheni nyinyi mazuzu wa dunia ..Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu ni moja tu:
Kama ni kulazimika kuchagua kimoja, ni ipi inapaswa kuja kwanza? AMANI au HAKI?
Wewe unaonaje? Toa hoja yako kwa heshima.
Usitupotee muda wa kuikomboa nchi.Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu ni moja tu:
Kama ni kulazimika kuchagua kimoja, ni ipi inapaswa kuja kwanza? AMANI au HAKI?
Wewe unaonaje? Toa hoja yako kwa heshima.
Hili ni tatizo mkuuMleta mada ni zuzu ...hajui maana ya haki na kazi ya haki...kwa kifupi tu nikuelimisheni nyinyi mazuzu wa dunia ..
💥MAANA YA HAKI
Haki ni staili halali ya mtu au watu.
💥KAZI YA HAKI
Kazi ya kaki ni kuleta amani kwa wanao shairi amani na kuiondoa amani kwa wanao shairi kuondolewa amani..hii ndiyo kazi ya haki..
Hivyo mnaosema kuwa amani ni tunda la haki pia hampo sahihi sana kwa sababu haki tumeona ina kazi mbili nazo ni
1)kuleta amani
2)kuondoa amani
-kuleta amani kwa wanaostairi amani
-kuondoa amani kwa wasio stairi amani.
Hapa tuonaona majukumu mawili ya haki siyo moja mnalo linadi nyinyi, la kuleta AMANI TU...
LEO HII TANZANIA , WATU WAOVU NDIYO WENYE AMANI NA WATU WEMA WANAOKEMEA MAOVU NA KUTENDA MEMA NDIYO WAMEONFOSHEWA AMANI.
Hii ni list ya baadhi ya watu waovu..
1)Rostam azizi na familia yake
2)muhuni shekhe mwaipopo.
3)kikwete na familia yake
4)gsm
5)Samia na familia yake
6)mafwele.
Hivyo kazi ya haki ni kuondoa amani ya watu waovu na kuleta amani kwa watu wema , ndiyo maana mnaona MASHEKH NA MAFISADI NA WAHUNI WA CCM WANACHUKIA SANA NENO HAKI .
Asante kwa kuelimisha. Nakubaliana kuwa haki ina pande mbili: kulinda wema na kukemea uovu.Mleta mada ni zuzu ...hajui maana ya haki na kazi ya haki...kwa kifupi tu nikuelimisheni nyinyi mazuzu wa dunia ..