Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Mna attach/kuwekaje picha vipi katika post
Mbona mie naambiwa picture failed?



Sent using iPhone 7
 
New monalisa?

Hivi michoro ya kina da vinch inayosifika Ni ipi? Mbona sioni upekee was hiyo michoro yao? Maana vijana wa Sasa wanachora balaa
Michoro iliyo sifika ni kuwa :

Wao ni watu wa kwanza kubadili sanaa ya uchoraji kutoka 2D kuwa 3D,
Pia mazingira yao ya uchoraji yakkua magumu lakini walitoa vitu vikubwa,
Mfano rangi na brashi za kucholea...

Mfano wali design majengo n.k

Lakini kiukweli sasa watu wanachora hatari ila tayari ULIMWENGU ni rahisi,
Kuna rangi
Vifaa vya kisasa,
N. K

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…