Kama umechora wewe Nina kitabu changu nataka kava page.Ni riwaya.
Kabisa.Vya kale ni dhahabu mkuu
Michoro ya D.V ilibeba siri nzito za ulimwengu, nyingine mpaka sasa haijafumbuliwa!
Hawa wa sasa wanachora sana lakini hazibebi jumbe za kukumbukwa na vizazi
Watu wanachora 3DNimekumbuka wakati nipo secondary tulishinda kwenye mashindano ya uchoraji hapa tz ..tuka enda kuiwakilsha taifa huko Canadá tuliondoka watatu kule ushindani ulikua mkubwa sana sisi wengi wa africa tulikua tunatumia pencil na brush za kawaida tu lakini picha zilikua ni shiiida. Zoezi lilikua ni gumu Ushindani hatari mpka kufikia top 10 ..wakatoa assignment moja yakuchora mpira. Kilichotokea ni kwamba wote tuliochora mpira kama duara kesho yake tulianza safari ya kurudi home. ndipo nikatundika brush na pencil
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umechora wewe Nina kitabu changu nataka kava page.Ni riwaya.
hongereni sana!!! tena sanaNimekumbuka wakati nipo secondary tulishinda kwenye mashindano ya uchoraji hapa tz ..tuka enda kuiwakilsha taifa huko Canadá tuliondoka watatu kule ushindani ulikua mkubwa sana sisi wengi wa africa tulikua tunatumia pencil na brush za kawaida tu lakini picha zilikua ni shiiida. Zoezi lilikua ni gumu Ushindani hatari mpka kufikia top 10 ..wakatoa assignment moja yakuchora mpira. Kilichotokea ni kwamba wote tuliochora mpira kama duara kesho yake tulianza safari ya kurudi home. ndipo nikatundika brush na pencil
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kutokea mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya uchoraji ya watoto ya dunia.nikapata medali na vitu vingine lakini ..
Wazazi na hata walimu hawakukubali offer niliyopewa kwenda kusoma Japan miaka mitatu...
Kisa wale ni makafiri ..watanikengeusha! Jamii nzima iliungana kupiga vita...matokeo sikwenda na wala sikuendelezwa tena.Ila toka ndani ya moyo wangu napenda mno kuchora...ni basi tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningemshauri mchoro asimuoneshe picha uyo mbavu, aseme tu nega imeungua
Ni kweli imechorwaKuna mahali pameharibu mada yako. Vinginevyo hongera kwa uchoraji. Halafu huyo jamaa mwenye miwani no mambo ya Photoshop uneamua kutuchanganyia au Ni mkono na pencil?
Duh huyo anayechorwa mbona hana mashavu makubwa hivyo [emoji38]
Kuna mtanzania anajua kuchora hivyo? Nahitaji anichore