Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Hao wote wanafanya poa sanaa
Ila mm narudi nyumbani naona mnawapanba wachoraji wa nnje sana ila nyumbani kuna vipaji moto sanaa zaidi ya ivyo nalet apicha zao za ig hapa wanavipaji vikubwa kuliko hap wazungu na wagana nimechafua wachache mana mm napenda kuangalia vitu kama ivyo ila sijui kuchora



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wa pili ni uyu bwanaa Rams tagram
Uyu bwana anakipaji kikubwaa sanaaaa
Anachora katika mitimdo tofauti na bado kila picha inakuwa tamu sanaa amin na kwambia wabongo wanavipaji vikubwa sana




Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Attachments

  • IMG_5181.JPG
    93.7 KB · Views: 51
Nipo mahali nimeajiriwa kwa kazi hyo,nazichora sana pencil sketch zinaenda nje,acha nitulie niwaletee kazi zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsahau King Kinya na Ibra radi Washokera kwenye list

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…