Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,554
God gifted talent, huyu ni Swap a Augustine na mwenzake wanachora kwa kutumia mguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
God gifted talent, huyu ni Swap a Augustine na mwenzake wanachora kwa kutumia mguu
View attachment 1057693View attachment 1057694
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU tu ajuae uwezo wa watu aisee....God gifted talent, huyu ni Swap a Augustine na mwenzake wanachora kwa kutumia mguu
View attachment 1057693View attachment 1057694
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woow
[emoji4][emoji4][emoji4]
Hapa uchoraji ni ziro,picha zimekuwa kama za mazombi
Habari za wakati huu kwenu wote!
UCHORAJI ni sanaa ya kuweka alama kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile kalamu ya wino au ya risasi , burashi ,
penseli za rangi ya wax, crayoni, makaa, choko, pastels, aina mbalimbali za erasers, markers, styluses, metali mbalimbali (kama silverpoint) na siku hizi hata elektroniki au kitu kingine cha kuandikia au kupaka rangi katika karatasi ,
kitambaa , ubao , metali , mwamba, kadi, plastiki, ngozi, canvas, na bodi au penginepo.
Mimi kama mchoraji wa kiwango cha kawaida tu, nimeamua kuleta uzi huu kwa watu wote ndani ya jf na nje.
kwa kua na heshimu kazi za wachoraji WAKUBWA, wakawaida na hata wadogo ndani na nje ya Tanzania.
Kama wewe ni mchoraji au umeona sehemu mchoro unaweza kuleta hapa na sisi tukaona vipaji vya watu na kufurahi pamoja.
Kuna baadhi ya michoro si rahisi mtu aamini kama imechorwa na mkono wa mtu lakini ndivo ilivyo.
Baadhi ya majina ya wachoraji ni hawa
1-Da Vinci
2-picasso
3-Kipanya
4-Tingatinga
5-Olumide
6-mimi ( [emoji23])
Na picha au michoro ni hii hapo chini,
Yenye rangi ni ya mnigeria anaitwa OLUMIDE
Ongezeni michoro mingine Tafadhali View attachment 1055295View attachment 1055296View attachment 1055297View attachment 1055298View attachment 1055299View attachment 1055300View attachment 1055301View attachment 1055302
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitapitia hukoPitia huku,me huwa nachora kujifurahisha sio lazima niwafikie akina Picasso
https://www.easypeasyandfun.com/how-to-draw/
http://www.yedraw.com/drawins.html#.XHl8i2mEY0M
http://rapidfireart.com/2015/12/07/how-to-draw-a-face-in-8-steps/