Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Beautiful painting!!!![emoji106]
FB_IMG_15562233326537181.jpeg
 
New monalisa?

Hivi michoro ya kina da vinch inayosifika Ni ipi? Mbona sioni upekee was hiyo michoro yao? Maana vijana wa Sasa wanachora balaa
Mzee baba Da Vinci atabaki kuwa juu...The last sapa, monalisa na zile nyingine ..jamaa alitumia miaka mingi kuchora picha tu ..kwa sababu kuna ma code kibao uko yalitumikaaa na kufichwa umo.
 
Back
Top Bottom