Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
- Thread starter
- #381
Mmmmh! Hapa pagumuEva ReuleckeView attachment 1079524
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh! Hapa pagumuEva ReuleckeView attachment 1079524
Aisee ,ila kiwango chake utadhani kamera
SanaAisee ,ila kiwango chake utadhani kamera
Pagumu kweli kweliMmmmh! Hapa pagumu
Yap yap!Kuchora bwana upate pencil zake zile asee cjui gharama huwa ni kiasi gani?
Sitaki kuamini ngoja nifuatilie zaidi.
Mbona kwenye mchoro anamashavu Kama mapulizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamera ya mkono [emoji122] [emoji122]Beautiful painting!!!![emoji106]View attachment 1082747
Mzee baba Da Vinci atabaki kuwa juu...The last sapa, monalisa na zile nyingine ..jamaa alitumia miaka mingi kuchora picha tu ..kwa sababu kuna ma code kibao uko yalitumikaaa na kufichwa umo.New monalisa?
Hivi michoro ya kina da vinch inayosifika Ni ipi? Mbona sioni upekee was hiyo michoro yao? Maana vijana wa Sasa wanachora balaa
AmazingBeautiful painting!!!![emoji106]View attachment 1082747
[emoji1][emoji1][emoji1]Kamera ya mkono [emoji122] [emoji122]
Penseli ya maajabu!
Mwanamke was miaka 40 ambaye amepooza kwa miaka 30 lakini anajiingizia kipato kwa kuchora anaishi katika mji was Taiyuan Jimbo la ShanxiView attachment 1083407View attachment 1083408View attachment 1083409View attachment 1083410View attachment 1083411View attachment 1083412