Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Natamani sana kuwa single ila kwa nilipofika siwezi rudi nyuma, ntavumilia lakini watu/mimi kuwa kwenye ndoa haimanishi kuwa kuko shwari. Wengi tunakutana na vitu ambayo hatukutegemea


Sent from my iPhone using JamiiForums


hahaha... mm mume wangu anajua siku nikiwa single n8tafnya kazi km kichaa....ila ss hv unapiga hatua 2 anakuvuta makjsudi hatua zero..sijui ana shidq gan..alafu mm sio mwanqmke mbinafsi sijui niseme nijenge sijji nijengee wazaz..70%ya mapato yangu anakula yy ila haishi kunirudisha nyuma..jaman nimechok
 
😂😂😂u made my day thou

Napenda sana kucheka na kutabasamu...

Ikitokea nimempa tabasamu mtu mwingine nasikia raha na kufarijika.

Nafurahi kuwa leo nimekupa cheko, tabasamu na kuinakili siku yako hata ukasahau unayopitia kwa dakika kadhaa.
 
Aisee, so Demi unataka nifundisha nin?? Acha niwe mpole tu kukwepa mengi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Simaanishi umpige. Weka misimamo yako vizuri, mkiwa serious tunaogopa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], mim sina tatizo na flat screen, wala hilo halijawahi kuwa ishu hata kidgo mana nilichagua mwenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
Vizuri sana
 
Napenda sana kucheka na kutabasamu...

Ikitokea nimempa tabasamu mtu mwingine nasikia raha na kufarijika.

Nafurahi kuwa leo nimekupa cheko, tabasamu na kuinakili siku yako hata ukasahau unayopitia kwa dakika kadhaa.

amen sisy
 
Ndoa husaidia mtu kuzeeka haraka. Kabla sijaoa age mates wangu waliokuwa wameoa niliona wameanza kuzeeka haraka na kuwa na sura zenye mikunjo na uso uliopoteza nuru na furaha, sikuelewa kwanini walikuwa vile, ila baada ya kuoa nahisi hata mimi sasa nimeanza kufanana nao japo siwezi kujiona. Kuoa ni sawa na kuji register to your final destination.


Sent from my iPhone using JamiiForums
dah mnatutisha kuingia uko sasa
 
Hiyo mume kuchelewa vijiweni ili kukwepa kimdomo cha wife home duuh, ni bora uwahi kurudi ili msuluhishane mlipokosea maisha yasonge, ikiwa hivo naona kama mnakua hamtibu tatizo(mnalikwepa),at the end litakua sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke hapungukiwi na maneno....
Hata kama kila jambo liko sawa atasema tu.

Na maisha sio mstari mnyoofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom