Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Mwanamke hapungukiwi na maneno....
Hata kama kila jambo liko sawa atasema tu.

Na maisha sio mstari mnyoofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
so mkuu unaona suluhusho ni kuchelewa chelewa kijiweni ili ukirudi ukute keshalala?kesho tena utafanya hivo hivo , mi nafikiri mtu hawezi sema tu hata kama hakuna tatizo, hivo lazima kuna tatizo mahali ndyo maana anaongea ,so its better mkayamaliza. mambo mengine ya maendeleo yaendelee
 
Wewe ndoa yako haina matata au bado una miaka chini ya 18?
 
aaah Babu under 18 kwelii🙄, bado sijaingia huko ndoani, ila ni kamtu kazima hivi

Vipi wewe Bibi Sky akikukwaza huwa unafanya kuchelewa ili ukirudi ukute anakoroma zake?
 
so mkuu unaona suluhusho ni kuchelewa chelewa kijiweni ili ukirudi ukute keshalala?kesho tena utafanya hivo hivo , mi nafikiri mtu hawezi sema tu hata kama hakuna tatizo, hivo lazima kuna tatizo mahali ndyo maana anaongea ,so its better mkayamaliza. mambo mengine ya maendeleo yaendelee
Nitachelewa kwa sababu maalum nyimbo zake nishazizoea nachambua yaliyo ya mihimu na kuyafanyia kazi mengine naweka kando.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aaah Babu under 18 kwelii🙄, bado sijaingia huko ndoani, ila ni kamtu kazima hivi

Vipi wewe Bibi Sky akikukwaza huwa unafanya kuchelewa ili ukirudi ukute anakoroma zake?
Hajawahi kunikwaza kwakweli. Mara nyingi huwa nawahi kurudi nyumbani ili kumsaidia kukata vitunguu na kutengeneza juice.

Pepo la ulabu likinizidi nguvu huwa nampigia simu tukutane panapostahili.... Yeye anagida wine mi nagonga K Vant. Tukirudi home hapo ni vikojoleo vinasemezana tu.
 
Back
Top Bottom