Mada maalum kwa wanandoa

Hatari sana, sema hivi ni vitu vidogo vidogo tu japo pia vinakwaza


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukilijua hilo huwezi pata shida mkuu kila mtu ana majanga yake kikubwa uvumilivu sababu hakuna aliyetafutiwa mke au mume na wazazi
 
Ni kweli, lkn Kama ulimuacha kwa manyanyaso lazima umkumbuke. Mi pia Kuna ex wangu namkumbuka sana nahisi angefaa kuwa mume wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi fungiwa mlango kisa kwenda kuangalia mpira usiku, ndoa ilikuwa na siku 10 tu, nikalala chumba cha jirani mpka asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana mpendwa wangu ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…