Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Ukilijua hilo huwezi pata shida mkuu kila mtu ana majanga yake kikubwa uvumilivu sababu hakuna aliyetafutiwa mke au mume na wazazi

Sahihi kabisa, “UVUMILIVU” [emoji848][emoji848]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kweli, lkn Kama ulimuacha kwa manyanyaso lazima umkumbuke. Mi pia Kuna ex wangu namkumbuka sana nahisi angefaa kuwa mume wangu

Ungekuwa nae nahisi kwa sasa ungekuwa unatamani ungekuwa na huyu uliyenaye


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli kaka mito mtu ambaye yupo kwenye ndoa hawezi mshauri aondoke na amwachie mwanaume watoto kuna mda tunatakiwa tuchuje na ushauri tunaopewa na watu
Kweli kabisa dada,.manake wengine humu wanachukulia wanandoa kuachana ni rahisi tu kama boyfriend na girlfriend. Halafu watoto sasa watakavyoathirika kisaikolojia na kimalezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom