Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nafurahi saana jamaniUsinicheke ni kweli namkumbuka. Miaka ya juzi hapa nilikutana nae, aisee ilikuwa balaa ikabidi nimblock maana mmh
Unamkumbuka hadi X kabisaaa! Nipe namba zake hebu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi saana jamaniUsinicheke ni kweli namkumbuka. Miaka ya juzi hapa nilikutana nae, aisee ilikuwa balaa ikabidi nimblock maana mmh
....Mi pia Kuna ex wangu namkumbuka sana nahisi angefaa kuwa mume wangu
Sasa hapo kwenye ugomvi unadhani hawaathiriki kisaikolojia?!Kweli kabisa dada,.manake wengine humu wanachukulia wanandoa kuachana ni rahisi tu kama boyfriend na girlfriend. Halafu watoto sasa watakavyoathirika kisaikolojia na kimalezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Total Desperate, hauna jinsi, ndoa haikwepeki aisee!Kila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Hahaha hahaha hahaha
AiseeeKila mtu anae, kuna wale visible( one you were in the relationship with) na Invisible (Alikuwa anakupenda bila kukuambia mwishowe akakuacha pia bila kukuambia)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alishaoa nisije muharibia, hlf nilivyo na wivu naanzaje kukupa [emoji1787][emoji1787]Nafurahi saana jamani
Unamkumbuka hadi X kabisaaa! Nipe namba zake hebu
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahhahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alishaoa nisije muharibia, hlf nilivyo na wivu naanzaje kukupa [emoji1787][emoji1787]
Hallelujah mbona mm ndio zangu hizo na wewe shahidi labda useme kingine mpendwa wangu ktk bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha yaaani wewe hapana aiseee
Uombe na kufunga! Ndo silaha kuu ya mwanamke
Sijaandika Mimi hiyo comment, ni mtoto anachezea simu
Nafurahi saana jamani
Unamkumbuka hadi X kabisaaa! Nipe namba zake hebu
Si nilikuambia lakini anapopatikana nikupeleke umekuwa kipofu wewe
We shida yako moja tuu..Hallelujah mbona mm ndio zangu hizo na wewe shahidi labda use me kingine mpendwa wangu ktk bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameniambia babuAlikuambia ana mimba yangu??
Namsalimia tuu
Mpe aisee kizuri kula na mwenzioAlishaoa nisije muharibia, hlf nilivyo na wivu naanzaje kukupa [emoji1787][emoji1787]
Akirudi watoto watawaweka karibu yeye na mumeweHakuna kitu kibaya kama watoto kuona baba na mama wanishi kwa ugomvi