TsotsiKwesta
Senior Member
- Jan 12, 2014
- 126
- 258
Nipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.
Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aamyn aamynKiupande wangu nahisi kuongea na mhusika ni vizuri zaidi kuliko kusema hapa japo hatuonani wala kuwajua wenza wetu ni kama kuanika siri za ndani nje
Binafs ndio nimeingia huku, Allah atuzidishie mapenzi na uvumilivu
Kiupande wangu nahisi kuongea na mhusika ni vizuri zaidi kuliko kusema hapa japo hatuonani wala kuwajua wenza wetu ni kama kuanika siri za ndani nje
Binafs ndio nimeingia huku, Allah atuzidishie mapenzi na uvumilivu
Ndoa husaidia mtu kuzeeka haraka. Kabla sijaoa age mates wangu waliokuwa wameoa niliona wameanza kuzeeka haraka na kuwa na sura zenye mikunjo na uso uliopoteza nuru na furaha, sikuelewa kwanini walikuwa vile, ila baada ya kuoa nahisi hata mimi sasa nimeanza kufanana nao japo siwezi kujiona. Kuoa ni sawa na kuji register to your final destination.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
Nashukuru kiimani yangu kuoa au kuolewa ni kuikamilisha nusu ya dini, hayo ya kupoteza nuru kuzeeka haraka sjaona maybe ndoa zenu zina migogoro isiyokwisha na hazina amani, marafiki zangu wengi walioolewa kabla yangu kama ni uzuri umezidi hasa na mashemeji zangu wako smart na nyuso za kung'aa siri kubwa nilioambiwa kudumu ni kuvumilia na maskilizano ndani, kuheshimiana,kuthaminiana, kuaminiana na kupendana
So mkuu, unajutia why umeoa sababu unazeeka au? I mean kwa majibu haya ni majuto au?
Ni majuto makubwa sana, hongera zako kama yako iko tulivu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aamyn aamyn
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Kuna fursa hapa sibandukiHahaaaaa.
Mara pap katika kufunguka matatizo yenu, Kuna
Members watagundua ya kwao yanaendana..... wanazama PM kufarijiana....
......to be continued.......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama out unatoka peke yako ni tatizo, unatakiwa kutoka nae, au yeye hapendi?Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.
Sent from my iPhone using JamiiForums