Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Mimi binafsi siwezi kudumu na mwanamke ambae siwezi kumuamni so the moment my trust is betrayed that’s everything falls out and there is no turning back, napenda niwe mke nisifiche chochote kwake hakuna skeletons lakini unakuta mke ni muongo kuliko uongo wenyewe
 
Nipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.

Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiupande wangu nahisi kuongea na mhusika ni vizuri zaidi kuliko kusema hapa japo hatuonani wala kuwajua wenza wetu ni kama kuanika siri za ndani nje

Binafs ndio nimeingia huku, Allah atuzidishie mapenzi na uvumilivu

Ndoa husaidia mtu kuzeeka haraka. Kabla sijaoa age mates wangu waliokuwa wameoa niliona wameanza kuzeeka haraka na kuwa na sura zenye mikunjo na uso uliopoteza nuru na furaha, sikuelewa kwanini walikuwa vile, ila baada ya kuoa nahisi hata mimi sasa nimeanza kufanana nao japo siwezi kujiona. Kuoa ni sawa na kuji register to your final destination.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashukuru kiimani yangu kuoa au kuolewa ni kuikamilisha nusu ya dini, hayo ya kupoteza nuru kuzeeka haraka sjaona maybe ndoa zenu zina migogoro isiyokwisha na hazina amani, marafiki zangu wengi walioolewa kabla yangu kama ni uzuri umezidi hasa na mashemeji zangu wako smart na nyuso za kung'aa siri kubwa nilioambiwa kudumu ni kuvumilia na maskilizano ndani, kuheshimiana,kuthaminiana, kuaminiana na kupendana

So mkuu, unajutia why umeoa sababu unazeeka au? I mean kwa majibu haya ni majuto au?

Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.

Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akili.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashukuru kiimani yangu kuoa au kuolewa ni kuikamilisha nusu ya dini, hayo ya kupoteza nuru kuzeeka haraka sjaona maybe ndoa zenu zina migogoro isiyokwisha na hazina amani, marafiki zangu wengi walioolewa kabla yangu kama ni uzuri umezidi hasa na mashemeji zangu wako smart na nyuso za kung'aa siri kubwa nilioambiwa kudumu ni kuvumilia na maskilizano ndani, kuheshimiana,kuthaminiana, kuaminiana na kupendana

So mkuu, unajutia why umeoa sababu unazeeka au? I mean kwa majibu haya ni majuto au?

Ni majuto makubwa sana, hongera zako kama yako iko tulivu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahaaaaa.

Mara pap katika kufunguka matatizo yenu, Kuna
Members watagundua ya kwao yanaendana..... wanazama PM kufarijiana....

......to be continued.......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Kuna fursa hapa sibanduki
 
Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama out unatoka peke yako ni tatizo, unatakiwa kutoka nae, au yeye hapendi?
 
Back
Top Bottom