Mada maalum kwa wanandoa

Ona sababu ya ugomvi wao sasa!
Watu wengine bwana!
 
Wewe
Niko ndoani mwaka wa kumi huu! Huwa naamini kile moyo wangu unachoniambia! Amani yangu na watoto wangu kwanzaaa kama Mungu akinijaalia watoto!
Woiiiii juu kwenye post yako ujue umeandikaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Uko sahihi, nilichogundua demokrasia ndani ya nyumba ni chanzo cha matatizo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Woiiiii juu kwenye post yako ujue umeandikaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Nimeandikaje eti
 
Na mie namuombea yaishe aishi kwa amani na furaha!
Shida ni kwamba inaonekana shida ni kubwa, kwani wangapi mnakosea na kusameheana eti?!
Mbona mwanzo waliishi kwa amani na furaha kwa nn sasa ni mapito tu haya yatapita wataishi kama zamani
 
Aisee hatuchekani,..mimi nakaribia kukata kamba mda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niko sehemu nasubiri mida isonge nirejee home sasa nimejikuta nacheka kwa sauti mpaka watu wameshangaa,
“Mimi nakaribia kukata kamba mda wowote”
Japo si mazuri lakini dah nimecheka sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shida ndo inaanzia hapo...


Ngoja niwaache na ndoa zenu jamaniii...
Kwa heri Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu baki uko upate uzoefu unafikili ndoa lelemama
 
Exactly wanawake wengi wanapenda wanaume wakali ila watekeleza majukumu ya famili, siyo uwe mkali hafu watoto na mama yao hawali chakula kizuri au hawapati mahitaji hapo ukali wako utakuwa bure.
Uko sahihi, nilichogundua demokrasia ndani ya nyumba ni chanzo cha matatizo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…