Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

We mkeo ananenepa hovyo unamwona tu unashindwa kumshinikiza afanye mazoezi na kula vyakula visivyo na Wanga na faty nyingi. Mambo mengine tusiwasingizie wanawake tu we sema unapenda totozi ukikaa bar au mahali pa starehe upige miluzi vibinti vije.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sababu ya ugomvi wao sasa!
Watu wengine bwana!
 
Wewe
Niko ndoani mwaka wa kumi huu! Huwa naamini kile moyo wangu unachoniambia! Amani yangu na watoto wangu kwanzaaa kama Mungu akinijaalia watoto!
Woiiiii juu kwenye post yako ujue umeandikaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio wote bwana watu tupo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu kugombana kupo lakini sio mwanamke kuwa na sauti kwa mumewe

Mkuu wewe mkeo amekupanda kichwani mkeo ana sauti kuliko wewe na hiki ulikosea toka mwanzo mlivyoanzana

Mwanaume anatakiwa awe na sauti akiongea mara moja harudii baba kaongea kwenye nyumba

Uko sahihi, nilichogundua demokrasia ndani ya nyumba ni chanzo cha matatizo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Woiiiii juu kwenye post yako ujue umeandikaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Nimeandikaje eti
 
Na mie namuombea yaishe aishi kwa amani na furaha!
Shida ni kwamba inaonekana shida ni kubwa, kwani wangapi mnakosea na kusameheana eti?!
Mbona mwanzo waliishi kwa amani na furaha kwa nn sasa ni mapito tu haya yatapita wataishi kama zamani
 
Aisee hatuchekani,..mimi nakaribia kukata kamba mda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niko sehemu nasubiri mida isonge nirejee home sasa nimejikuta nacheka kwa sauti mpaka watu wameshangaa,
“Mimi nakaribia kukata kamba mda wowote”
Japo si mazuri lakini dah nimecheka sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shida ndo inaanzia hapo...


Ngoja niwaache na ndoa zenu jamaniii...
Kwa heri Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu baki uko upate uzoefu unafikili ndoa lelemama
 
Exactly wanawake wengi wanapenda wanaume wakali ila watekeleza majukumu ya famili, siyo uwe mkali hafu watoto na mama yao hawali chakula kizuri au hawapati mahitaji hapo ukali wako utakuwa bure.
Uko sahihi, nilichogundua demokrasia ndani ya nyumba ni chanzo cha matatizo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom