Mada maalum kwa wanandoa

Duuu pole mamito
 
Cc@Shunie
Mito
 
Wanandoa wengi huvumiliana kwa kuogopa upweke, hali duni ya kifedha, kukejeliwa kuwa ndoa imewashinda, kufikiria kimakosa kabisa kwamba watoto wakuzwe na baba na mama ilihali ndoa haina furaha wala amani.
Ama kweli ndoa ndoano.
 
Halafu na wewe unakosea sio kila ukigombana na mme wako unawaambia ndugu zako jamani unakosea sana mwisho wa siku wanamchukia tu kama hivyo
 
Hapo tunarudi palepale kua ulimlea hivyo toka mnaanzana ulijifanya kumnyenyekea sana
Wife hayupo hivyo, kuna wanawake nawaona katika ndo zao. Nachokiamini kama mwanamke unamkuza mwanao bila ya kuwa na baba angalia sana, maana lisauti la mwanaume nyumbani ni tiba kwa watoto wanakuwa na heshima. Sasa kama amezoea sauti ya kike hata akiolewa anakuwa hana hofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu hukooo

Halafu meshtukaa, haiwezekani kila mtu anaiponda ndoa humu! Msinitishee nawolewaa na nitaishi kwa amani na furaha kwa jina la Yesu.... Mnataka mpate mautamu nyie tuu eeehh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We chizi sana mbona mm siipondi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu ni chaguo langu chaguo langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…