Mada maalum kwa wanandoa

We cheka tuu dadake mimi. Hakuna mtu anyejua kuvumilia kama mwanamke! Ukiona kaamua kuondoka jua amefika mwisho kabisaaa! Sasa mama muinjili haelewi hilo
Mimi naelewa mpenzi. Kuvumilia ni rahisi kuliko kuondoka. Jamani kuondoka si kazi ndogo; hadi mtu athubutu kutoka me huwa namuheshimu sana. (Mwenye sababu ya msingi ya kuondoka, sio mtu anajifanya kuondoka kisa upumbavu wake)

And trust me, mtu kama hajaamua kuondoka, hata aje nani amshauri, haondoki ng'oo. Ila siku yakimfika hapa, hatokumbuka hata kuomba ushauri, mtamkuta kabeba tu zubeda lake kasepa. Uvumilivu una kikomo.......
 
Saivi ungekuwa msumbiji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa mama mchungaji
 
OK, timiza haja ya moyo wako
 
Ngoja nikusanye hela... Najua kitawaka soon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga wewe uache kuniombea mema unaniombea kiwake hivi kweli unanipenda wewe
 
Agiza supu hapo dadangu...
Uvumilivu una kikomo!
Shunie mito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…