Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

unahisi anaishi na wewe kwa sababu ya nini labda, unahisi bila ya wewe hawezi ishi, mbona unamdhalilisha hapa, for ur information mwanamke akishaanza kukujibu ovyo jua anaweza kuishi bila wewe muda wowote ule
Kwa nini kakubali nimuoe kama anaweza kuishi bila mimi au peke yake?

Mimi ndo ninaye muhudumia kwa kila kitu, hata itakapotokea akapata tatizo lolote mimi ndo nitakayewajibika,

Wewe umeolewa?
Na kama umeolewa unajua wanaume tunahitaji nini kutoka kwenu?

NB; HUYU MWANAMKE HATA NIKIMWAMBIA AENDE KWAO HATAKI, ANATAKA AENDELEE KUISHI NA MIMI SASA WEWE UNAVYOSEMA NIKIONA MWANAMKE ANANIJIBU HOVYO NIJUE KWAMBA ANAWEZA KUISHI BILA MIMI MUDA WOWOTE NASHINDWA KUKUELEWA

HAPA ALIPO NI MAMA WA NYUMBANI TU HANA SHUGHULI YOYOTE YA KUMUINGIZIA KIPATO AU NNAYOWEZA KUSEMA INAMPA KIBURI

SIKU NYINGINE UWE UNAULIZA KWANZA KULIKO KUKURUPUKA
PIA FUATILIA POST ZANGU ZOTE NILIZOMZUNGUMZIA UTAWEZA KUELEWA WALAU KIDOGO

NIMEFUNGUKA HUMU SABABU NAJUA HAPA KUNA WAZOEFU/WALIO KWENYE NDOA ZAIDI YA MIAKA KUMI HIVYO NATARAJIA KUPATA USHAURI NAMNA YA KWENDA NAE SAWA PASIPO KUATHIRI NDOA YANGU MAANA BINAFSI MUDA MWINGI NAWAZA KUTOA TALAKA TU

KUMBUKA HII NDOA INA MIEZI MIWILI TU
 
Pole sana jitahidi mno apate shughuli ya kufanya ili usiku mkipanda kitandani, nguvu zisitofautiane sana
Mtu anayeshinda nyumbani na kuhudumiwa kila kitu ana nguvu na ashiki zaidi ya yule anayeshinda kazini akitafuta

Jr[emoji769]
 
Nikianza la kumtafutia shughuli ya kufanya,
NILISHAWAHI KUMWAMBIA AFIKIRIE NI BIASHARA GANI ANAYOWEZA KUFANYA IKAMPATIA KIPATO CHA KUENDESHA FAMILIA PINDI NISIPOKUWEPO/NIKIFA

mpaka sa hivi ninavyoandika hapa hakunipa jibu

Kuhusu hilo la kitandani,
KIFUPI NAWEZA SEMA HUYU SIO MTU WA SEX, MAANA TUNAWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA LEO USIKU, KESHO NIKITAKA TENA ATALALAMIKA KWA KUSEMA,"YAANI KILA SIKU UNATAKA...! HUWEZI KULALA HADI TUFANYE!"
KIFUPI NAWEZA SEMA HAYUPO ADDICTED NA TENDO LA NDOA, YAANI ANAKUWA NA HAMU KAMA NIKIPOTEZA WIKI MOJA AU MBILI LAKINI TOFAUTI NA HAPO MPAKA NIMUANDAE SANA
 
Hebu tucheke kidogo... But may be it makes sense
IMG-20190130-WA0118.jpeg

Jr[emoji769]
 
Ndoa ni nzur kama umeoa mkeo, au umeolewa na mumeo, kuna watu wameoa watu ambao hawakupaswa kua pamoja, ninaamin ndo inaweza kua nzuri kama kila mtu atafahamu nafasi yake kwenye ndoa, mume ajifahamu kua yeye ni mume hata kama hana hela, hata kama hajalewla, kuna mtu mpaka awe na fedha ndo furaha inakuwepo nyumbani!
Mim mwaka wa 10 huu, tunagombana, tunapatana, lakini mwisho wa siku tumeweka makubaliano na mwenzangu kwamba hakuna kulala na kinyongo/sumu, tukigombana basi mmoja wetu atajipendekeza mpaka tutapatana hata kama ni kwa unafiki ila tukiamka asubuh ni siku nyingine yameisha!
 
Changamoto kubwa iliyokuwepo katika ndoa katika nchi zetu za Dunia ya Tatu ni kulazimishwa kuamini katika mifumo ya ndoa iliyopo nchi za Dunia ya kwanza bila kujali kuwa mila na desturi za Africa zinakinzana kwa kiasi kikubwa na utamaduni wa waliorasimisha mifumo ya ndoa tunayolazimishwa kuamini. Katika hali kama hiyo migogoro katika ndoa itakuwa ni kitu endelevu ambacho hakina suluhisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
_Secret 1_
Everyone you marry has a weakness. Only Allah does not have a weakness. So if you focus on your spouse's weakness you can't get the best out of his/her strength.

_Secret 2_
Everyone has a dark history. No one is an angel. When you get married or you want to get married stop digging into someone's past. What matters most is the present life of your partner. Old things have passed away. Forgive and forget. Focus on the present and the future.

_Secret 3_
Every marriage has its own challenges. Marriage is not a bed of roses. Every good marriage has gone through its own test of blazing fire. True love proves in times of challenges. Fight for your marriage. Make up your mind to stay with your spouse in times of need. Remember the vow For better for worse. In sickness and in health be there.

_Secret 4_
Every marriage has different levels of success. Don't compare your marriage with any one else. We can never be equal. Some will be far, some behind. To avoid marriage stresses, be patient, work hard and with time your marriage dreams shall come true.

_Secret 5_
To get married is declaring war. When you get married you must declare war against enemies of marriage. Some enemies of marriage are:
Ignorance
Prayerlessness
Unforgiveness
Third party influence
Stinginess
Stubbornness
Lack of love
Rudeness
Laziness
Disrespect
Cheating
Be ready to fight to maintain your marriage zone.

_Secret 6_
There is no perfect marriage. There is no ready made marriage. Marriage is hard work. Volunteer yourself to work daily on it. Marriage is like a car that needs proper maintenance and proper service. If this is not done it will break down somewhere exposing the owner to danger or some unhealthy circumstances. Let us not be careless about our marriages.

_Secret 7_
Allah doesn't give you a complete person you desire. He gives you the person in the form of raw materials in order for you to mould the person that you desire. This can only be achieved through prayer, love and patience.

_Secret 8_
Getting married is taking a huge risk. You can not predict what will happen in the future. Situations may change so leave room for adjustments. A husband can lose his good job or a wife may fail to have babies. All these require you to be prayerful otherwise you might divorce.

_Secret 9_
Marriage is a contract. It is meant to be life long. It needs total commitment. Love is the glue that sticks the couple together. Divorce start in the mind and the devil feeds the mind. Never ever entertain thoughts of getting a divorce. Never threaten your spouse with divorce. Choose to remain married. Allah dislikes divorce.

_Secret 10_
Every marriage has a price to pay. Marriage is like a bank account. It is the money that you deposit that you withdraw. If you don't deposit love, peace and care into your marriage, you are not a candidate for a blissful home.

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom