Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Sio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
Kama ni kweli nakupa kongole mkuu
 
Sio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
"Aliyekua mke wako" Sasa hivi Yuko wapi?
 
Sio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
Vitimbi gani hvo ulipata pole sana waaminifu wapo wachache
 
Hahahahaaaa! Kuoa bila mipango au kulenga ishu moja tuu matokeo yake ndiyo hayo!!

Kabla ya kuoa ulipaswa kujua au kujifunza utaishi vipi na mkeo na hata baadae wanao! Yanayobaki muachie Mungu

Mie nina zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa, mwanzoni nilipata ugumu flani coz kuna mmoja wetu kabadili dini so kufundishana na kuwekana sawa ilikuwa shida kidogo! Pia nilikiwa mnywaji, kurudi usiku hakuna muda na familia napo vilichangia kuweka gap kwenye ndoa yangu na wakati huo kipato kilikuwa chini, so tukawa na matamanio yasiyotimia matokeo yake ni stress na kugombana!

Kabla ya kuoa nilipanga kuwa na familia yenye furaha, outings na vacations na safari ni vitu napenda sana kiukweli!! Nilihitaji mtu wa kufanana nae!

Nilipoanza kazi na NGO moja hivii inadeal na maswala ya ndoa! Nilikuja kugundua visababishi vya vikubwa vya migogoro ya ndoa ni nini! Kimoja wapo ni kitendo cha kila siku kurudi nyumbani usiku wa manane, umelewa wanawake wanaumia sana ila basi tu! Yakimzidi ndipo nae hutafuta faraja kwa namna ingine au hubadilika tabia na ndipo hapo, migogoro inaanzia!

Niliamua kubadilika, pombe nikaacha na familia yangu ikawa ndiye rafiki zangu wakubwa!!

Naishi kwa amani na nafurahia maisha ya ndoa to maximum!! Sijutii kwa hakika na naamini hata mke wangu vile vile!!

Tunatoka outing wote, tunasafiri tunavyopenda tunafanya yanayotupasa yaan ni full furaha! Namshukuru Mungu kwa kweli.

Ndoa ya furaha inawezekana ila kwa jitihada za pande zote mbili!! Ukiona unaleta furaha ila upende mwingine hauhitaji uwe hivyo hilo ni tatizo na hapo inabidi kuchukia hatua!

Kikubwa tumia muda mwingi kuchunguza utayetaka kuoa au kuolewa nae. Kama ana tabia usiyoipenda jikatae mapemaaaa! Usitarajie atabadilika akishaingia kwenye ndoa, na hili ndiyo kosa la wengi!!
Baelezee baelewee
 
Yupo kwao, nimeshaachana nae baada ya kuona ni Bomu muda wowote lingeweza kulipuka na kusababisha maafa
Pole sana, sasa kama kuna watoto si mnawapa shida jamani? Wazazi vijana halafu mnaachana Mungu hapendi mkuu
 
Mi huwa hatuna stori. Kwanza hadi tunarudi hom tushavurugana
Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
 
Vitimbi gani hvo ulipata pole sana waaminifu wapo wachache
1. Alikua anataka kunitawala yaani yeye awe juu mimi niwe chini yake, yaani mimi niwe kama mwanamke na yeye awe mwanaume

2. Tendo la ndoa mpaka atake yeye au ajisikie

3. Jeuri na kiburi vyote vyake ana majibu ya hovyo yaani anaweza kunijibu anavyotaka kama anamjibu mwanae

4. Alikua anatabia ya kunikorofisha makusudi nikichukia ananisema vibaya kwa majirani na ndugu zake mwisho mimi naonekana mbaya ( HII NDIYO SABABU KUU ILIYOPELEKEA NIMUACHE )
Yaani naweza kusema yeye alikua akifurahi kuniona mimi nikiwa matatizoni maana kama kuna mtu ananidai basi yeye atasimama kidete utadhani yeye ndo anayenidai

5. Mbishi...ukimwelekeza kitu kwa nia ya kumwelewesha ye hataki anajiona mjuaji kwa kila kitu

Yaani yeye akishasema kitu ndo kasema hivyo anachotaka ni utekelezaji tu(FINAL SAY )

6. Hataki kusemwa au kukosolewa pindi anapokosea ( kuna kipindi alikua akionea watoto wa dada yangu kumbe wale watoto mmoja ambaye ni mkubwa alikua akiwaambia wazazi wake Baba na Mama ila wao walikua hawamwambii kwa kuhofia ataonekana hapendwi ila siku mtoto akaja kushtaki kwangu nikamchana kwamba anachokifanya sio kitu kizuri....AKANUNA HUYOOO...akaona haitoshi akajitenga yeye na mtoto wetu wa kwanza akawa anamtenga asicheze na wenzie, kuona hivi nikamwita tena kisha nikamwambia tena mbele ya Dada, alichosema dada ni kwamba hizo taarifa ye aliambiwa muda tu ila alishindwa kuniambia mimi kwa kuhofia nitaona anamchukia wifi yake )

7. Mbinafsi...Changu chake....chake ni chake hata kama mimi ndo nilipambana au nilifanikisha mpaka akakipata ila ni mwiko kunishirikisha...( Kuna kipindi alikua akifanya biashara flani sijawahi kushirikishwa kuhusu mapato wala nini yaani akimaliza biashara hela inafichwa hukooo...ila mimi nikirudi kazini nikitoka tu akawa anasachi mifuko ya suruali zangu ajue kuna pesa kiasi gani akikuta pesa, kesho yake ataanza kuniambia anadaiwa nikimwambia sina hela atanijibu zipo kiasi fulani kwenye suruali yangu yaani hata kama tayari ipo kwenye bajeti ya kodi ya nyumba ye atataka itumike anavyotaka yeye mwisho wa siku naanza kuhangaika peke yangu ye ananiangalia tu )

8. Anaigiza....yaani yeye anaishi ili kuwafurahisha majirani au watu, yupo tayari kwenda kumsaidia kazi jirani huku zilizopo ndani hakuzimaliza kisha baadae anaanza kulalamika kuchoka nikimwambia ananijibu mimi MSHAMBA WA MAISHA

9. Ameharibiwa na vipindi vya kwenye runinga hasa hivi vya kina Mama Terry bila kusahau na Bongo Movie

10. Anapenda kujionyesha....yaani anataka kuonekana yeye yupo juu kwa lugha nyepesi hataki kuishi katika uhalisia anataka kuonekana anaishi maisha fulani hivi ya hadhi ya juu

N.B;

KIPINDI CHA UCHUMBA TABIA HIZI SIKUWAHI KUZIONA MAANA NILIANZA NAE MAHUSIANO 2014 HADI 2018 MWISHONI NDO TULIFUNGA NDOA
 
Pole sana, sasa kama kuna watoto si mnawapa shida jamani? Wazazi vijana halafu mnaachana Mungu hapendi mkuu
Soma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumilia

Kuhusu watoto najua atawalisha sumu ili wanione Baba yao mbaya au sifai maana kuna siku aliwahi kuniambia NIKIMUACHA NISITEGEMEE KWAMBA NINA WATOTO, nikamuuliza wakija kukuuliza "BABA YUPO WAPI?"akanijibu nitawaambia "AMEKUFA"

Kifupi naweza sema hapa nilikosea kuoa
 
Soma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumilia

Kuhusu watoto najua atawalisha sumu ili wanione Baba yao mbaya au sifai maana kuna siku aliwahi kuniambia NIKIMUACHA NISITEGEMEE KWAMBA NINA WATOTO, nikamuuliza wakija kukuuliza "BABA YUPO WAPI?"akanijibu nitawaambia "AMEKUFA"

Kifupi naweza sema hapa nilikosea kuoa
Nmepitia km yko ila kwa uwezo mungu yamepita khs watt wala sijari natoa huduma hayo mengine yy na mungu wake...
 
Mimi pia ilishanitokea hiyo tena nilienda nae shopping, kumuuliza umeuziwa kwa sh ngp akaanza kunijibu kwa nyodo kama anamjibu
Mwanae

Nikamwambia ntakutandika makofi sasa hivi huwezi kunidharirisha mbele ya mkusanyiko wa watu akakaa kimya

Yaani kuanzia hapo ikawa mwisho kuongozana nae sehemu, maana nikitoka nae tu lazima atanitibua

Yaani kifupi anatabia za hovyo

Na hapo vimeshafanyika vikao vya kutosha, akijitahidi kubadilika atakaa wiki tatu baada ya hapo anarudia tabia zake za awali kama kawaida

KESHO NAENDA KUTOA TALAKA RASMI
 
Nmepitia km yko ila kwa uwezo mungu yamepita khs watt wala sijari natoa huduma hayo mengine yy na mungu wake...
Huenda wako kabadilika, ila huyu hawezi kubadilika maana kama angekua wa kubadilika angebadilika tangu nilipompa likizo

Alichokifanya sasa baada ya kusikia namrudisha kwao akafungasha vitu vyote alivyokuja navyo na nilivyonunua kipindi naishi nae

Siku ya pili akaenda kufungua kesi ya madai ya malezi ya watoto ( hapa nikashtuka kwamba anataka kutumia watoto kupata pesa wakati hata asingeenda mimi ningewahudumia wanangu kama kawaida )

Baada ya hapo akawa anakuja kutembelea rafiki zake ( hapo sijui kwao alikua anaaga anaenda wapi maana alikua analala kwa rafiki zake anaondoka siku ya pili ) hapo alikua akinikuta nimekaa nje ananipita kama kisiki nami nikawa namkaushia tu

Akawa akikuta mlango wa chumbani kwangu sijafunga na funguo akawa anachungulia na kusepa sijui alikua anafikiri nimenunua vingine?!!☺

Hao rafiki zake wenyewe hawajaolewa mmoja ndo kamaliza kidato cha nne mwingine anafundishwa kushona nguo

Wiki iliyopita ndo sikumuona kesho naenda kuongea na mzazi wake na kutoa TALAKA rasmi
 
Afadhari angekua ananiheshimu ila yeye anathamini watu baki na kuwaona wao ndo wathamani kwake kuliko mimi, mwisho wa siku akiumwa mimi ndo nahangaika nae

Hapo rafiki zangu wakija wakimuona tu, kesho yake kazini wataanza kunisifia na kuwaambia watu, "MKE WA KRAIT MZUUURI HALAFU MPOOOLE".

Kimoyo moyo nawajibu, "kaeni nae muone"

Kuna siku aliwahi kunijibu jeuri mbele ya Dada yangu, Dada alimaind siku hiyo hadi akamuuliza, "Siku ukisikia kaka yako anajibiwa hivyo na wifi yako mbele yako utajisikiaje?"

Daaah! WACHA NIISHIE HAPA MAANA NIMEKUTANA NA MENGI KIASI KWAMBA NIKIYAMBUKA NAHISI SITOOA TENA
 
Ulimfumania nin?
Huyu nilishawahi kufuma msg za kimapenzi zaidi ya mara tano, ila hajawahi kuniomba msamaha

Sana sana akawa ananijibu jeuri tu mwisho wa siku nikitaka kumwacha ndo anajifanya kuniomba msamaha kwa kudai ndo alikua anatongozwa, nikahack mawasiliano yake kisha nikawa nachart na jamaa na jamaa akawa ananijibu kama kawaida akifikiri anachart na mubusika (shukrani ziwaendee IT ) hapo ndo nikawa napata uhakika kama kweli jamaa ndo alikua anafukuzia papuchi

HUYU TANGU NIWE NAE AMENIOMBA MSAMAHA MARA MBILI TU TENA HIZO ZOTE NI BAADA YA KUTAKA KUMUACHA ILA SASA HV NDO BASI TENA HATA AKIJA KUNIOMBA TENA MSAMAHA NITAMSAMEHE ILA HATAKIA MKE WANGU TENA MAANA ATASABABISHA NICHUKIE WANAWAKE WOTE
 
Soma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumilia

Kuhusu watoto najua atawalisha sumu ili wanione Baba yao mbaya au sifai maana kuna siku aliwahi kuniambia NIKIMUACHA NISITEGEMEE KWAMBA NINA WATOTO, nikamuuliza wakija kukuuliza "BABA YUPO WAPI?"akanijibu nitawaambia "AMEKUFA"

Kifupi naweza sema hapa nilikosea kuoa
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji25][emoji25]
 
Back
Top Bottom