Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Sio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli nakupa kongole mkuuSio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
Care ipi mnataka,,mkiwa wasichana mkitongozwa utasikia unanipenda kweli (upendo wa kweli eti ndoa) au unataka kunichezea ?😂😂😂ss mahari kitu gan humpi.care yyt mke wako🙄
"Aliyekua mke wako" Sasa hivi Yuko wapi?Sio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
Yupo kwao, nimeshaachana nae baada ya kuona ni Bomu muda wowote lingeweza kulipuka na kusababisha maafa"Aliyekua mke wako" Sasa hivi Yuko wapi?
Vitimbi gani hvo ulipata pole sana waaminifu wapo wachacheSio kweli, mimi pamoja na vitimbi vyote nilivyokua napata kutoka kwa aliyekua mke wangu sijawahi kuchepuka wala kufikiria kuchepuka
Ulimfumania nin?Yupo kwao, nimeshaachana nae baada ya kuona ni Bomu muda wowote lingeweza kulipuka na kusababisha maafa
Baelezee baeleweeHahahahaaaa! Kuoa bila mipango au kulenga ishu moja tuu matokeo yake ndiyo hayo!!
Kabla ya kuoa ulipaswa kujua au kujifunza utaishi vipi na mkeo na hata baadae wanao! Yanayobaki muachie Mungu
Mie nina zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa, mwanzoni nilipata ugumu flani coz kuna mmoja wetu kabadili dini so kufundishana na kuwekana sawa ilikuwa shida kidogo! Pia nilikiwa mnywaji, kurudi usiku hakuna muda na familia napo vilichangia kuweka gap kwenye ndoa yangu na wakati huo kipato kilikuwa chini, so tukawa na matamanio yasiyotimia matokeo yake ni stress na kugombana!
Kabla ya kuoa nilipanga kuwa na familia yenye furaha, outings na vacations na safari ni vitu napenda sana kiukweli!! Nilihitaji mtu wa kufanana nae!
Nilipoanza kazi na NGO moja hivii inadeal na maswala ya ndoa! Nilikuja kugundua visababishi vya vikubwa vya migogoro ya ndoa ni nini! Kimoja wapo ni kitendo cha kila siku kurudi nyumbani usiku wa manane, umelewa wanawake wanaumia sana ila basi tu! Yakimzidi ndipo nae hutafuta faraja kwa namna ingine au hubadilika tabia na ndipo hapo, migogoro inaanzia!
Niliamua kubadilika, pombe nikaacha na familia yangu ikawa ndiye rafiki zangu wakubwa!!
Naishi kwa amani na nafurahia maisha ya ndoa to maximum!! Sijutii kwa hakika na naamini hata mke wangu vile vile!!
Tunatoka outing wote, tunasafiri tunavyopenda tunafanya yanayotupasa yaan ni full furaha! Namshukuru Mungu kwa kweli.
Ndoa ya furaha inawezekana ila kwa jitihada za pande zote mbili!! Ukiona unaleta furaha ila upende mwingine hauhitaji uwe hivyo hilo ni tatizo na hapo inabidi kuchukia hatua!
Kikubwa tumia muda mwingi kuchunguza utayetaka kuoa au kuolewa nae. Kama ana tabia usiyoipenda jikatae mapemaaaa! Usitarajie atabadilika akishaingia kwenye ndoa, na hili ndiyo kosa la wengi!!
Pole sana, sasa kama kuna watoto si mnawapa shida jamani? Wazazi vijana halafu mnaachana Mungu hapendi mkuuYupo kwao, nimeshaachana nae baada ya kuona ni Bomu muda wowote lingeweza kulipuka na kusababisha maafa
Bora kuachana kuliko kuforce mwisho wa siku Gunia mbili za mkaa nakuombea dua usipate mitihani hiyo ni hatari sna...Pole sana, sasa kama kuna watoto si mnawapa shida jamani? Wazazi vijana halafu mnaachana Mungu hapendi mkuu
Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
1. Alikua anataka kunitawala yaani yeye awe juu mimi niwe chini yake, yaani mimi niwe kama mwanamke na yeye awe mwanaumeVitimbi gani hvo ulipata pole sana waaminifu wapo wachache
Soma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumiliaPole sana, sasa kama kuna watoto si mnawapa shida jamani? Wazazi vijana halafu mnaachana Mungu hapendi mkuu
Nmepitia km yko ila kwa uwezo mungu yamepita khs watt wala sijari natoa huduma hayo mengine yy na mungu wake...Soma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumilia
Kuhusu watoto najua atawalisha sumu ili wanione Baba yao mbaya au sifai maana kuna siku aliwahi kuniambia NIKIMUACHA NISITEGEMEE KWAMBA NINA WATOTO, nikamuuliza wakija kukuuliza "BABA YUPO WAPI?"akanijibu nitawaambia "AMEKUFA"
Kifupi naweza sema hapa nilikosea kuoa
Huenda wako kabadilika, ila huyu hawezi kubadilika maana kama angekua wa kubadilika angebadilika tangu nilipompa likizoNmepitia km yko ila kwa uwezo mungu yamepita khs watt wala sijari natoa huduma hayo mengine yy na mungu wake...
Huyu nilishawahi kufuma msg za kimapenzi zaidi ya mara tano, ila hajawahi kuniomba msamahaUlimfumania nin?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji25][emoji25]Soma hayo niliyoorodhesha hapo juu kama wewe ungeweza kuvumilia
Kuhusu watoto najua atawalisha sumu ili wanione Baba yao mbaya au sifai maana kuna siku aliwahi kuniambia NIKIMUACHA NISITEGEMEE KWAMBA NINA WATOTO, nikamuuliza wakija kukuuliza "BABA YUPO WAPI?"akanijibu nitawaambia "AMEKUFA"
Kifupi naweza sema hapa nilikosea kuoa
Hii comment nimeipenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pombe ndio nn wewe hata kwenye Bible hakuna madhara